Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sinia limechoka kweli kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2476065

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naona viungo lakini hapajaungika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hiko Chombo nacho si mchezo.
 
Huyu ichogal anadhani hatuna mapicha za tz
 
Mwaka wa tano huu mnasema mtatuma mtu aje aanike uchafu wa Dar lkn cha kushangaza huyo mtu akija Dar harudi uko kwenu na picha mnakosa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya nipee hio homework basi[emoji23]
 
[emoji28][emoji28][emoji28] Barabara zetu zinawavua nguo

View attachment 2476133
Sisi hatuongei sn ni vitendo tu, waje waseme wenyewe. Hata hawa wa humu wameshaanza kuonja chungu ya "mwakani" tuliyokuwa tunaiimba humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
nyama ya mbuzi na groceries kidogo boiled bila mafuta na nyanya
Shida ni hilo sinia linaonekana kabisa lipo kilabuni kwa wanywa chang'aa, Wakenya tafadhali naomba msiwe mnapost maisha yenu halisi humu mnajichoresha sn, mwishowe tutaacha battle na nyie maana inaonekana kabisa tuna battle na machokoraa humu.
 
Wakenya suala lenu la Pinaccle Tower liliishaje?
Nmeona mkishoboka na cladding ya mzizima towers kwamba inaenda taratibu sana
Pinnacle Towers has a court case ndio maana ujenzi ilikwama. Mzizima towers imekuwa na kesi gani ndio ujenzi uende mwendo wa Kobe? Mwaka wa tano leo Kama sijakosea! Hata 88Nairobi ujenzi ilianza just the other day and it's almost coming to an end wakati Mzizima towers wanaweka glasi moja kwa wiki and call it cladding!
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Tuvumilie hadi wamalize,kweli linaenda taratibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…