Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This Trevor Noah lookalike kid trending globally, the replies are crazy 🤣
 
Hii ni mali ya umma mnafurahia ikiliwa? [emoji23][emoji23][emoji23]
Nani anakula gari? Besides hizo gari huwasaidia kutekeleza majukumu yao vizuri bila bughudha ya usafiri usio wa uhakika.
 
Tuanze kuanikana ama?
Wao ni worse, poverty mashinani and low life, this year nime relax, we already know everything about TZ so far, kwa sasa ni hekaya za abunuasi on display from southerners as they try to save face, yani kuanzia Mwanza to Arusha, Dodoma to Tanga etc.., makazi ni muonekano wa ufukara like over 80% of the areas or ushuzi as they call it.., Tanzania ina mwendo na haikombolewi karne hii ama in this generation and several coming.., ni muujiza utakomboa TZ.

Look at Dar vile inafanana, the commercial capital eti!!!
 
Upotezaji wa pesa ya umma ndani ya nchi maskini sana duniani
Nchi maskini inayofanya miradi ya gharama kuliko nchi zote maskini za EA combined, nchi maskini inayolisha nchi zote maskini za EA, think twice [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii ni mali ya umma mnafurahia ikiliwa? [emoji23][emoji23][emoji23]
Uwezo unaruhusu, nyie mlijaribu kufanya matokeo yake chakula hakipatikani nchi nzima [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Pata dawa kdg upoze machungu, and don't forget I post facilities that you can't find in any country across East and Central Africa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…