Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Na hapo kuna access road hadi kwenye Getho la Msela? [emoji23] . Hivi huko Nyumba ni lazima upande mmoja wote usiwe hata na tobo la dirisha? [emoji23] Huko pia Rangi bei ghali au ?
 
Tullikuwa tunajadiliana tangu jana kuhusu Access Roads. Je, hujui?
Uliitisha access roads za Kilifi na nikapost kadhaa. Baadae ukaruka na kusema kwamba Mafia Island inaizidi Kilifi kwa access roads. Kisha nikakuuliza upost hizo access roads za Mafia Island and you ended up posting this picture below 👇



Swali ni, hiyo picha ya island uliyopost ndio access road hapo Mafia Island?
 

Attachments

  • thanda-island~2.jpg
    74 KB · Views: 25
Nyingi ya Barabara za Kunyaland naona hazina service roads
Naona ngoma imebadilika sasa. Hebu nikuulize bongolala, kazi ya service road kwenye barabara yenye very low traffic kama access road ni nini haswa? Don't you know service roads huwekwa kwenye main highways with heavy traffic? Hizo picha zote nilizopost nionyeshe barabara yenye heavy traffic.
 
Green park [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Excuses as usual.
Leteni service roads hapa kwani huko kwenu Miji Ni dormant ?

Sumbawanga 👇
 
Na hapo kuna access road hadi kwenye Getho la Msela? [emoji23] . Hivi huko Nyumba ni lazima upande mmoja wote usiwe hata na tobo la dirisha? [emoji23] Huko pia Rangi bei ghali au ?
Maisha huku ni magumu kuliko maisha ya kuzimu yani msukule anamaisha mazuri kuliko mkenya just imagine 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…