Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Safi tulivu. Vitu kama hivi Dar havipatikani. Barabara labda wapost trunk road. 🤣 🤣 🤣

Screenshot 2022-12-09 000249.jpg
 
This is a trunk road you idiot. Na hiyo Toure Drive inapostiwa humu kila siku hadi tumeichoka. Nyie watu mna barabara kama nne hivi nzuri ambazo mnarudia tu humu maanake huko kwengine ni shida.
We fala hiyo ni trunck road ya kwenda wapi.?
 
Dar inatia aibu. No parks and the waterfront looks exactly the same as when the city was still a fishing village. How are we supposed to provide spaces for wananchi to enjoy the city?
 
Nataka munionyeshe access road kama hii hapa hapo Dar. Achaneni na hizi artery roads.

Screenshot 2022-12-09 000249.jpg
 
Pitia hiyo link upate elimu mana hujui maana ya trunk road
Toure Road is an artery road my friend. Nimeuliza Estate Road - also called access roads. Nipe picha na uachane hizi Trunk roads and Main Artery roads mnashinda mkipost.
 
Back
Top Bottom