Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hili 'jiji' la Mbeya kuna wakati iliwahifanya uzinduzi wa lift na mapochopocho zikaandaliwa na hata ribbon kukatwa!. Watu walikula na kusherehekea kwenye hafla hiyo bab kubwa!😂😂 Watumbuizaji na wanenguaji viuno pia hawakuachwa nyuma. Walialikwa kuwaburudisha wageni mashuhuri walioalikwa kutoka pembe zote za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kushuhudia uzinduzi wa lift ya kwanza katika 'jiji' la Mbeya.
View attachment 2472452View attachment 2472451View attachment 2472448View attachment 2472449View attachment 2472450View attachment 2472452

Ukistaajabu ya Musa, utaona ya watanzania!!
😂😂😂

We fala kweli, hii punch inauma😅
 
pwo! pwo! pwo!... hii nayo ni kali sana mzee!💥🔥🔥 hivi nimecheka yangu yote 😆😆😆😆

eti hivi leo.....👇🏽View attachment 2472486

View attachment 2472479

alafu kesho...👇🏽 kong!kong!View attachment 2472480
Si bora Mbeya imepata lift 19 years ago, Kisumu third largest village ilipata traffic light 3 years ago 🤣🤣🤣🤣

Screenshot_20230108-001059.png
 
Tanzania tumefanikiwa kulevel hali ya maisha nchi nzima

Hii ni Kigoma 1300 kilometers from Dar lakini hali yao ya maisha hasa ubora wa makazi ni wa kuridhisha, hutoona mtu kutoka hili eneo akifiwaza kwenda kwenye miji mikubwa ya Tanzania kutafuta maisha bora kama kunyaland kila county wananchi wanahama kulundikana Nairobi na kufanya slums kila kona

Kigoma
Fl43mAdWIAAVMZ-.jpeg
 
Kigoma View attachment 2472497
aisee miji za kibongo bana🤔

iringa city
Screenshot_20221227-211640_Gallery.jpg
Screenshot_20230106-223259_Google.jpg

vs

kisii town
City-of-Kisii (1).jpg
Screenshot_20221228-031213_Photos.jpg
 
Congo teyari Tanroads wanawajengea barabara kule Karemi. Tanroads wangechangamka wangeweza kuwa na kampuni kama ile ya ujenzi ya serikali ya China.
Na wangesomba tenda nyingi mno ndani ya nchi yetu, lakini as the result of stupidity, tenda zote wanachukua Wachina.
 
Tanzania Military ijikute na US Marines kwa meza moja, hiyo itasalia kua ni ndoto...

kenya is technicaly a member of 'NATO'.. per sé![emoji1787]

touch kenya and u ll face the full might of Nato...

wacha huyo Muhozi Kaneirugaba acheze aone nyuklia kampala na jinja
[emoji378][emoji378][emoji378][emoji378][emoji378]....... .........[emoji95]
View attachment 2472197View attachment 2472183View attachment 2472184View attachment 2472186View attachment 2472187View attachment 2472198
Una utoto sana
 
Unajua kila kotu kinajengwa kulingana na mahitaji,iyo via duct iko hapo for a reason,sio kwamba ni urembo
You needed Tanzania sgr at the port but mlijenga uswazi kiholela holela sasa hakuna nafasi
 
Ruaka road. Only Kigali can have this type of tranquility and cleanliness in an Estate in this region.

View attachment 2472193
Wakuu eti hii road ni clean according to mkundustan [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Aloo, wakundustan wachafu jamani, oneni hiyo clean road [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
tapatalk_-1018419653_480x222.jpg
 
Wakuu eti hii road ni clean according to mkundustan [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Aloo, wakundustan wachafu jamani, oneni hiyo clean road [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2472573

Barbara haina sidewalks wacha kujipendekeza! Kigali haina huu uchafu!

sasa Jitu linaona Hapo pasafi na patulivu kweli siku nyingine utakua na nguvu kujadialiana nae chochote. Ila kama katokea ile location hadi Mbwa anaona hapamfai [emoji23] Lazima aseme hapo pasafi na Patulivu ukanda mzima wa EA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa jamaa uchafu uko in born hawawezi ona tofauti hapo.
 
Zwazwa anakuwekea na English kabisa anakuambia "Ruaka road. Only Kigali can have this type of tranquility and cleanliness in an Estate in this region".[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
sasa Jitu linaona Hapo pasafi na patulivu kweli siku nyingine utakua na nguvu kujadialiana nae chochote. Ila kama katokea ile location hadi Mbwa anaona hapamfai [emoji23] Lazima aseme hapo pasafi na Patulivu ukanda mzima wa EA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini hawa wakundustan si huwa wanaona kabisa roads safi tunazoweka humu? Kwnn hawajifunzi jinsi gani road safi zinakaa? [emoji116][emoji116]
image_downloader_1673021585639.jpg
image_downloader_1673021570574.jpg
image_downloader_1673021278751.jpg
tapatalk_-889189666_680x510.jpg
tapatalk_-181270623_288x512.jpg
tapatalk_2140093531_390x520.jpg
 
Hawa jamaa uchafu uko in born hawawezi ona tofauti hapo.
Estate safi tulivu Dar es Salaam yote ndio hii hapa. 🤣 🤣 🤣 🤣

20221124_135741-jpg.2439637

Na kila siku narudia, mna bahati huo mji wenu ovyo hauna Google streetview. Ningewaumbua hadi mchoke. 🤣🤣
 
Back
Top Bottom