Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania Military ijikute na US Marines kwa meza moja, hiyo itasalia kua ni ndoto...

kenya is technicaly a member of 'NATO'.. per sé!🤣

touch kenya and u ll face the full might of Nato...

wacha huyo Muhozi Kaneirugaba acheze aone nyuklia kampala na jinja
💣💣💣💣💣....... .........💥
army.mil-101242-2011-03-07-090350.jpg
soldiers-disarm-their-weapons-during-a-simulated-military-excercise-of-the-british-army.jpg
soldiers-disarm-their-weapons-as-they-take-part-in-a-simulated-military-excercise-of-the.jpg
us-kenya-forces-enhance-partnership-through-integrated-training.jpeg
s960_rsz_batuk.jpg
us-marine-helps-a-member-of-the-kenyan-army-assume-the-proper-position-G3YXFP.jpg
 
Don't run away from the reality bongolala. Eti kila data inapotray nchi yenu negatively ni ya kupikwa. Tanzania leads this region in number of poor people and no amount of noise you make in JamiiForums will change that fact
Go and show those rosy Kenyan data to a guy in Kibera or pipeline kama hajakukimbiza na mfuko wa mbolea.
 
Hili eneo kama wameshindwa kupaweka vizuri si bora apewe yule jamaa!

Eneo zuri sana hili angalia hii picha ilivyo bomba.
Mwenye mkoa yupo busy kutaka kuifunga Wavuvi kempu wakati kuna vingi vya maana vya kufanya.
“Maadili my foot”

View attachment 2472061

Mwenye mkoa ni mpuuzi sana,
wakati tunatakiwa kufikiria ni namna gani tunaweza kuvutia wageni wengi zaidi hapa Dar hasa wazungu wanaokuja kujaza hotels zetu na kufanya matanuzi sehemu kama Wavuvi kempu yeye anaanza kuvamia tena hizo sehemu na kutoa vitisho na kuanza kufuatilia maisha ya watu binafsi,
Alinibore sana alivyoanza kuingilia hata watu wanaokunywa bia zao kwa starehe zao kwa pesa zao eti kisa haijafika saa 10, huu ni uzwazwa na ushamba wa maisha,
Yaani anataka watu waishi kama wapo boarding school?
 
Unaweza kuta hata hajui kuwa bia ndo mlipa kodi mkubwa nchi hii.
 
Tanzania Military ijikute na US Marines kwa meza moja, hiyo itasalia kua ni ndoto...

kenya is a member of 'NATO'.. per sé! touch kenya and u ll see the full might of Nato, wacha huyo muhozi kunaraigaba acheze aone nyuklia kampala na jinja
....... .........
View attachment 2472197View attachment 2472183View attachment 2472184View attachment 2472186View attachment 2472187View attachment 2472198
Al shabab wanawafanya wanachotaka kila siku. Halafu mnatamba humu
 
Kwa hiyo zile treni za India ambazo watu wanakaa mpaka juu ni bora kuliko bullet trains za China sababu zinabeba watu wengi na ajili si nyingi (relatively safe)
sasa unakaaje juu ya train alafu useme ni safe? wacha kuogopa kutumia akili sharobaro
 
Only maniacs like you can believe that shit.

1. How on earth can a 25 tons per axle rail carry more load than 35 tons per axle.

2. Also how can a 1km train length carry more goods than a 2km train length.

3. How can 80kph train ferry more goods pa than a 120kph train.

4. How can a rail with fewer siding rail ferry more goods than a rail with longer siding almost 3× per comparable distances.
How many tonnes is sgr tanzania expected to carry vs sgr Kenya?
 
Back
Top Bottom