🤣🤣🤣🤣🤣 yani vile munavonishambulia nahisi kua mm ni adui mkubwa sana kwenu na pia nafurah kua na maadui kenya asanteni woteSasa nani awe na chuki dhidi ya mtu anayeita golf course recreational park. Mtu kama wewe ni wa kuhurumiwaa tu, si wa kuchukia
1980s
Usichojua wewe ni kuwa Dar City ina implement underground electric systems mwaka wa 7 huu hivyo nguzo zinazidi kupungua siku hadi siku.Hapo kwenu hamna nyaya za stima. Ni vumbi tu kwa high end neighborhoods. Kule kwa hohehahe ukitoa main road hawajui lami ni nini. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Huku M23 wakiendelea ku gain new territoriesKDF wapo congo wanapiga picha
Nchi nyingi tuu duniani mtu hamiliki ardhi bila masharti. Serikali nyingi zinauwezo wakukunyang'a ardhi muda wowote, usipokamilisha matakwa fuani. Mfano usipolipa kodi ya ardhi, mali inapigwa mnada.
Hii sheria yetu ya ardhi imekuwa hivi toka 1920, Nyerere aliirithi tuu. Na ndiyo sababu kubwa ya sisi kutokuwa na slums kama Kenya na Afrika kusini.
Ile ishu ya kukamatwa ndege ilikuwa ni mpango madhubuti wa kumtibua Magu. Deni hilo lilikuwepo miaka mingi, mbona hawakuizuia rada iliyonunuliwa na serikali ya Mkapa?
Wakiibadilisha hii sheria, wakina Manji watanunua fukwe zote, halafu watakao mudu gharama watakuwa wageni na watanzania wachache. Na kwa akili zetu ndogo, hata mlima Kilimanjaro utakuja kukodishwa kwa muwekezaji siku moja.
Huku M23 wakiendelea ku gain new territoriesKDF wapo congo wanapiga picha
Sheria zetu zimewekwa kuwezesha wananchi kutuliki ardhi na kupewa hati miliki. Nyinyi sheria zenu zimewekwa kuwezesha wananchi kulease ardhi kwa kipindi cha muda fulani. Hapo ndio hub tofauti kati yetu nanyi. Sasa msisemange kwamba wakenya hawamiliki ardhi coz it's not true.Ndiyo maana nikasema, ni jinsi tuu sheria ilivyoandikwa katika nchi husika. Tanzania sheria imesema wazi kuwa serikali chini ya Rais ndiyo mmiliki wa ardhi. Katika nchi nyingi sheria haijatamka wazi kuwa ndiye mmiliki ila serikali zao zina njia nyingi ya kuichukua hiyo ardhi wakati wowote itakapotaka.
Hata Tanzania serikali haiwaondoi watu kwenye ardhi yao hovyo hovyo, ni pale tuu kunapokuwa na sababu ya muhimu kwa manufaa ya umma, mfano ujenzi wa reli, bomba la mafuta, sababu za kiusalama (ardhi kutitia) n.k. Serikali ikiomba watu kuondoka, wanatakiwa kupata fidia.
Golf course ya Lugalo unaijua wewe au unawashwa tuu. The best golf course in EA.And remember that's the only golf course there is in Dar [emoji23][emoji23][emoji23]
Nairobi hata sijui ziko ngapi. Na bado kelele zinapingwa huku na mibongolala
KDF is gaining M23 is losing, kile UN walishindwa kufanya in 50 years KDF wanafanya na miezi tu.Huku M23 wakiendelea ku gain new territories
Huku ZNZ utafikiri ni Malta, Cyprus au Spain jinsi kulivyo.Mwambieni zwazwa hii ni znz[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
View attachment 2470904View attachment 2470905View attachment 2470907View attachment 2470908View attachment 2470909View attachment 2470910View attachment 2470911
So those are two golf courses in the whole of Dar. Ama kuna nyingine?Golf course ya Lugalo unaijua wewe au unawashwa tuu. The best golf course in EA.
Hivi wewe umeelewa alichosema au? Basi nadhani utakiwa mkenya wa kwanza kufurahia na kukubali kwamba Kenya hamtakiwi Congo! Mmeenda kujiaibisha tu!KDF is gaining M23 is losing, kile UN walishindwa kufanya in 50 years KDF wanafanya na miezi tu.
Hao M23 sympathizers ndio tunafurahia wakitoa frustrations zao in public, inamaanisha KDF wako kazi vile inafaa, ama hio caption ya kingereza ilikua imekupiga chenga.Hivi wewe umeelewa alichosema au? Basi nadhani utakiwa mkenya wa kwanza kufurahia na kukubali kwamba Kenya hamtakiwi Congo! Mmeenda kujiaibisha tu!
Mbona mnaweka picha za zamani sn, Tz ya Mkapa? Siku hizi vi hiace haviingii mjini mazee, muwe na fair battle msipende kujifurahisha kwa vitu hamna, kwenye magari tumewazidi hata mfanye nn.Wanasema magari zetu za zamani, ndio hizi zao mpya. 2022 model [emoji1787] [emoji1787]