Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya ni advanced country tangu lini?
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Uongo, kwenye hizo foleni kuna gari za zamani sana zina miaka zaidi ya 40.
mfano hiyo 504
The Peugeot 504 is a mid-size, front-engine, rear-wheel-drive automobile manufactured and marketed by Peugeot from 1968 to 1983 over a single generation,


Pia kuna C CLass ya mwaka 2000 .

 
Hivi unajua kwamba Kenya iliunda tume maalumu ya kuchunguza masuala ya "land injustice" iliyopo Kenya ijulikanayo Kama "Ndungu's committee", katika nchi ambazo ilikwenda kujifunza ni Tanzania, na ilipendekeza kwamba Kenya ifuate Sheria za Tanzania katika kumiliki na matumizi ya ardhi. Itafute hiyo ripoti ujisomee.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mnapenda sana ligi za kijinga na kulazimisha mambo.

This is Zanzibar town center


This does not even come close to a small part of Mombasa called Kizingo

Achaneni ligi zisizofaa
 

Attachments

  • images - 2023-01-06T153249.631.jpeg
    50.5 KB · Views: 28
  • images - 2023-01-06T153118.441.jpeg
    61.7 KB · Views: 31
  • images - 2023-01-06T153143.873.jpeg
    65.7 KB · Views: 30
  • images - 2023-01-06T153157.495.jpeg
    70.4 KB · Views: 26
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Uongo, kwenye hizo foleni kuna gari za zamani sana zina miaka zaidi ya 40.
mfano hiyo 504



Pia kuna C CLass ya mwaka 2000 .

View attachment 2470962
Gari zote zilizokuwepo hapa ni za zamani hakuna mpya hata moja, linapokuja suala la magari Kundustan republic mtuache.
 
Mombasa yenye nyumba nyingi za udongo kuliko city yoyote Africa ndio iizidi Zanzibar jiji la kitalii? Unaumwa wewe sio bure [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ