The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Hao ndio wachache wanaotafuna nchi, mazombie mengi yapo mitaani yanatafuna mirungi ndiyo tupo nayo humu jukwaani.
Hao ndio wachache wanaotafuna nchi, mazombie mengi yapo mitaani yanatafuna mirungi ndiyo tupo nayo humu jukwaani.
Kinachonifurahisha hamna Mzungu, Mhindi au Mwarabu hata mmoja hapo. Pale Bongo ungepata kwa hiyo top 10 kuna Mwafrika Mweusi mmoja na huyo Mwafrika asili yake sii ya Bongo.
Kama unaona hiyo sio slum then that's the reason Dar is not developing any time soon. Imagine hii Githurai eti unaita slum na Tandale unasema sio slum. Tazama picha mbili hizi uniambie gani slum na gani sii slum.
Halafu Githurai yenyewe haipo Nairobi City.
Hehehe
View attachment 2469712View attachment 2469713
Nikifungu kipi hicho umiliki wa ardhi kwa wawekezaji?ili kuleta ufanisi mkubwa kwenye mipango miji ikiwa ni pamoja na kurekebisha kifungu cha sheria katika umiliki wa Ardhi ili kuvutia wawekezaji wengi wa private.
Ukabila Kenya hautaisha.Kinachonifurahisha hamna Mzungu, Mhindi au Mwarabu hata mmoja hapo. Pale Bongo ungepata kwa hiyo top 10 kuna Mwafrika Mweusi mmoja na huyo Mwafrika asili yake sii ya Bongo.
Jibu swali, kati ya hizo picha mbili gani slum?Mzee mbona unazunguka sana, mention the list of Slums in Dar same way we do for Nairobi.
Mm naweka picha ya chini ya Githurai slum na wewe tafuta picha za chini za Tandale weka humu zen tufanye conclusion, unaweka picha za mawinguni utajuaje sasaJibu swali, kati ya hizo picha mbili gani slum?










Ukubwa wa CBD ya ka Nairobi sio 1.4 km² ni 1.04 km²Nilipoteza muda kupima ukubwa wa Naipori CBD vs Posta .. hizi hapaNaipori cbd ni 1.4 km²View attachment 2469789vs Posta 2.11 km² View attachment 2469790so DAR CBD is two times larger to Nairobi's 1
Ubaya unaongea ukiwa Tandale. There's a high chance you've never stepped foot in Nairobi, and probably you will never. Wacha kuongelea adithi za kusimuliwa. Nairobi cbd haikuwangi na traffic jam. Traffic jam inapatikana on the major roads leading to the cbd. About congestion, hiyo ni kitu ya kawaida na ipo hata NY. Inategemea congestion inapitakana which side of the city. Nairobi downtown is always congested, just the same way Kariakoor Dar is also congested. Usiwe wa kupurukikaSawa niambie ni kwanini Taoo imefurika kila wakati, hakuna usafiri, congestion, traffic jam and all that craps, if your city is functioning left right and center why the hell everybody is flocking to CBD? 5M tu mmejaa, mkifika 7M kama sisi?
Nairobi's CBD Congestion is high end congestion. You can't compare it with Kariakoo. Kariakoo congestion is similar to Eastleigh congestion.Ubaya unaongea ukiwa Tandale. There's a high chance you've never stepped foot in Nairobi, and probably you will never. Wacha kuongelea adithi za kusimuliwa. Nairobi cbd haikuwangi na traffic jam. Traffic jam inapatikana on the major roads leading to the cbd. About congestion, hiyo ni kitu ya kawaida na ipo hata NY. Inategemea congestion inapitakana which side of the city. Nairobi downtown is always congested, just the same way Kariakoor Dar is also congested. Usiwe wa kupurukika
ona.. hapo hauja include, Tom Mboya street ie.(the busiest, the most famous and the most popular street within nbi old cbd!), pia RiverRoad, Kirinyaga Road, Ronald Ngala Street, Race Course Road, Accra Road, Luthuli Avenue, Latema Road.. etcNilipoteza muda kupima ukubwa wa Naipori CBD vs Posta .. hizi hapa 👇 Naipori cbd ni 1.4 km²View attachment 2469789vs Posta 2.11 km² View attachment 2469790so DAR CBD is two times larger to Nairobi's 1
Huyo anaongea anasahau he lives in one big sprawl of a slum called Dar. He forgets that Dar, just like Nairobi is a Third World city and most Third World cities share the same problems. It's good umemkumbusha that Nairobi is still the best in this region however bad they may talk.I presume this response was supposed to be to me.
Nairobi was 4.3M in the 2019 census. It's 2023. Using the population growth rate from the past 10 years from the census (2009 - 2019) the population of Nairobi would be now about 4.7M.
I may not be right, I am right. People are moving from urban sprawls to compact cities.
Nairobi is a third world city but so is Dar. One major feature of most third world cities is being overwhelmed with poor infrastructure and poor services - Nairobi may be overwhelmed but it is still the best in the pack in this region and definitely the best planned so far. You speak of massive slums that only constitute 6% of Nairobi while in Dar 90% of it is a massive slum of disorganization. Even your best neighborhoods such as Mbezi lack basic amenities such as tarmacked roads. Worse still, the city is one big urban sprawl with no green spaces - one wonders if you'll ever get to provide services to the whole of it if you can't even provide them to your posh neighborhoods.
NB - The two cities you mentioned - Dhaka and Lagos - are better than Dar in every way you can classify the positives of a city.
![]()
And that was my point precisely. These sourthernes need to step foot out of that sprawl of a slum they call a city wajue life exists outside the boundaries of Dar is slumNairobi's CBD Congestion is high end congestion. You can't compare it with Kariakoo. Kariakoo congestion is similar to Eastleigh congestion.
Eti anasema Nairobi ni kama Dhaka na Lagos yet those two cities are way better than Dar is a Slum. economy ya Dhaka pekee ni kama ya Tanzania 7 times. Hawa watu hawananga information kabisa.Huyo anaongea anasahau he lives in one big sprawl of a slum called Dar. He forgets that Dar, just like Nairobi is a Third World city and most Third World cities share the same problems. It's good umemkumbusha that Nairobi is still the best in this region however bad they may talk.
He talks about basic services while a big part of their city, including certain parts of the cbd, lack sewer system. Which part of Nairobi cbd is not connected to the sewer system? The answer is none!
Hawa mibongolaa huendeshwa na mihemko sana!
In short, ameacha the whole of downtown Nairobi, commonly referred to as "commercial"ona.. hapo hauja include, Tom Mboya street ie.(The most famous and popular Nbi Cbd street!), RiverRoad, Kirinyaga Road, Ronald Ngala, Race Course Road, Accra Rd, Luthuli Avenue, Latema Rd..
as in, hapo ume capture tu a 1/3 of nbi cbd
Si nakuambia wanaendeshwa na chuki na mihemko!Eti anasema Nairobi ni kama Dhaka na Lagos yet those two cities are way better than Dar is a Slum. economy ya Dhaka pekee ni kama ya Tanzania 7 times. Hawa watu hawananga information kabisa.
![]()
![]()
Dhaka ni wapiEti anasema Nairobi ni kama Dhaka na Lagos yet those two cities are way better than Dar is a Slum. economy ya Dhaka pekee ni kama ya Tanzania 7 times. Hawa watu hawananga information kabisa.
![]()
![]()