The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,970
Tutampa hadhi ya Mama wa Taifa,reformist Woman na mpenda Haki.Huyu mama anajitahidi sana kuongoza hii nchi kwenye misingi ya utu na uwazi ikiwa ni pamoja na kutuletea maendeleo. Ni Rais muungwana sana. Nashangaa ambao hawaoni hizi tunu adhimu alizojaliwa na anazitumia vyema.
Inafaa kwenye akili ya mtu binafsi kama wewe kisha it becomes gospel truth sivyo?Poverty haikai kwenye karatasi jirani.
Alafu utasikia mtu akitaja kijitonyama (last pic) na Westlands in the same sentence! 😂😂 Joke of the century!Dar kama Dar.., no filter.., 80% ushago 😝 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 ..,
View attachment 2467667
View attachment 2467668
Duh!Huyu mama anajitahidi sana kuongoza hii nchi kwenye misingi ya utu na uwazi ikiwa ni pamoja na kutuletea maendeleo. Ni Rais muungwana sana. Nashangaa ambao hawaoni hizi tunu adhimu alizojaliwa na anazitumia vyema.
Aliyewazuia kupika yenu ni nani? Si Kawaida yenu tukiwa mbele yenu kwa lolote ni data za kupikwa. Lakini nyinyi mkiwa mbele yetu data huwa ni sahihi kabisa. Desperate souls!kwa hizo report zenu za kupika?
Ushahidi wa nini? Kwamba tuna assemble Mercedes trucks au ushahidi ipi unataka? Kama ni hiyo, pitia kurasa za nyuma ndio uache kupurukika. Ushahidi zimewekwa hapa si habaWeka ushahidi hapa acha maneno matupu
Ukitaka kuona dar cbd street level hii hapa
Ndiyo hivyo mkuu mtu huwezi kupendwa na wote wala kuchukiwa na wote kaka, ila kama uko vzr wengi watakupenda na wachache watakuchukia na ukiwa hovyo itakuwa kinyume chake kama hv.Duh!
Upuuzi mtupu unaonesha hapa, typical old African City view.View attachment 2467938
yes..! it's very much distinct..
the difference between an EmergingMarket and a LeastDevelopedCountry is more than clear here..
When all these tourist say nairobi is comparable to south african cities, they are not mincing their words.... they realy mean it..
they express wht they feel is true[emoji848] (nb: mzungu hajui kuficha ukweli)
dar es saalam cityscapes[emoji1427][emoji1427]
View attachment 2467905View attachment 2467906View attachment 2467907View attachment 2467908View attachment 2467909View attachment 2467910View attachment 2467911View attachment 2467912View attachment 2467913
VS
nairobi cityscapes[emoji1427][emoji1427] View attachment 2467914View attachment 2467915View attachment 2467916View attachment 2467917View attachment 2467918View attachment 2467919View attachment 2467921View attachment 2467922View attachment 2467923View attachment 2467924View attachment 2467925View attachment 2467926View attachment 2467927View attachment 2467928View attachment 2467929View attachment 2467930View attachment 2467931View attachment 2467932View attachment 2467933View attachment 2467947
Rais wetu yupo vizuri sana. Atatufikisha mbali.Ndiyo hivyo mkuu mtu huwezi kupendwa na wote wala kuchukiwa na wote kaka, ila kama uko vzr wengi watakupenda na wachache watakuchukia na ukiwa hovyo itakuwa kinyume chake kama hv.
High speed rail sio hii tunayojenga sisi,Only silly beings regard "Africa Facts Zone" as credible source.
Up till now, over 700km of SGR have already been constructed in Tanzania. Why is Tanzania not in the list?
Hmm! Ni nini kimekutokea?Rais wetu yupo vizuri sana. Atatufikisha mbali.
Naomba kuuliza sorry, kwani railway line yetu haiwezi pitisha treni zinazokimbia umbali wa 220 km/hr.?High speed rail sio hii tunayojenga sisi,
Izo infrastructure zinapitisha train za mwendokasi usiopungua speed 220km/hr nakuendelea ,yetu ni 160km/hr ambayo hata southafrica walishajenga yakutoka Johannesburg kwenda Pretoria speed ya train zake ni 160km/hr nayo
Mimi sijawahi kuwa tofauti. Msimamo wangu ni ule ule tu.Hmm! Ni nini kimekutokea?
Haiwes.Naomba kuuliza sorry, kwani railway line yetu haiwezi pitisha treni zinazokimbia umbali wa 220 km/hr.?
Mbona hii reli yetu teyari ina huo uwezo wa kuhimili 220km per hr?High speed rail sio hii tunayojenga sisi,
Izo infrastructure zinapitisha train za mwendokasi usiopungua speed 220km/hr nakuendelea ,yetu ni 160km/hr ambayo hata southafrica walishajenga yakutoka Johannesburg kwenda Pretoria speed ya train zake ni 160km/hr nayo
Haiwes.
Mbona hii reli yetu teyari11 ina huo uwezo wa kuhimili 220km per hr
Wewe jamaa. Unaweza ukatoa sababu? AU wivu tu unakusumbua?Haiwes.
Are you sure?Mbona hii reli yetu teyari ina huo uwezo wa kuhimili 220km per hr
Pingamizi huwa lipo kwenye kona na miinuko. Mfano ile reli yetu ya zamani inamikunjo kunjo mingi sana, treni ikienda kwa speed kubwa itaacha njia ya reli.Naomba kuuliza sorry, kwani railway line yetu haiwezi pitisha treni zinazokimbia umbali wa 220 km/hr.?