Mkwanzania
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,352
- 5,414
Umesoma hiyo hukumu ya Hoyce? Unadhani hizo tuhuma ni grounds zinazotosha kuzuia yeye kupata nafasi aliyonayo? Umesema mwenyewe receiving country nao wanafanya vetting, so unadhani n Swiss hawajui hizo tuhuma? Unadhani ni kwanini wameignore na kumuaccept Hoyce?Actually, per the Vienna Convention on International Relations, the receiving state can even deny the appointed representative of the sending country without disclosing a reason. If Switzerland accepted Temu with open arms, I don’t see how their form of background check is the same as ours considering we had solid reasons not to appoint her.
My question is what kind of criteria was used for due diligence. Did both countries utilize the same criteria? Seems highly unlikely. Switzerland might have used different methods of checking the representative, and it doesn’t make any sense for “Switzerland”to perform a background check on the representative’s organizational awareness. As the sending country, it is our duty to ensure that our diplomat is BEST suited for the job. So, our vetting process should have confirmed that Temu possessed integrity.
Lazima ubinafsi na wizi umechukua nafasi yake. Hii nchi inaliwa sana na wachache .Sijui kwanini serikali haijifunzi, Rites kutoka India walipewa railways zote za Tanzania kipindi fulani walichozifanyia ni Mungu anajua anyway hapo lazima kuna % ya kigogo mmoja au kumi
Wenzake au Mwenzako Don?The bitter truth..., kwa hili wenzako "watakupiga kwa mawe".
Wanatakiwa kujua kwamba this is more than that match. Azam TV haina wateja wengi upcountry Kenya! Hii show ikihit ni mwanzo wa Azam kuteka kenya vizuri!It’s more fun akipigwa zaidi akishinda. Fans wake wanaenjoy zaidi akishindwa, so huwa wanamwambia tutakuwa na wewe mpaka wakuue…….[emoji28][emoji28] ila to him it doesn’t make a difference wether you win or loose……yeye anasema ukimpiga ni kama amekupiga na ukimpiga ni kama amekupiga tu. Yaani mfano mzuri ni hii battle, hata mkitupiga ni kama tumewapiga, na tukiwapiga ni tumewapiga tu, yaani hamponi mandonga style[emoji28][emoji28]
F*****k off!!!“Upupu” ninaoeneza ni factual truth, si story za vijiweni.
Let’s break this down further. What does the Vienna Convention on International Relations say about background checks on diplomats from the sending state? And the receiving state?
Perhaps the problem could be that our vetting procedures are not thorough, and possibly, party politics could play into the appointment decisions.
Akilia lazima akumbukwe aseee[emoji23][emoji23]Yaani sasa hivi nimetoka kumwambia kijana ina maana humsikii ng'ombe akilia? Kakimbia kumuwekea majani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akilia lazima akumbukwe aseee[emoji23][emoji23]
hii ndiyo maana halisi ya taifa tajiri, siyo utajiri wa kunya land wa GDP za kwenye makaratasiNipo kwenye mwemdokasi hapa nimelipia ticket kupitia app! Huku kunyaland kuna mambo kama haya!![emoji323][emoji323][emoji323][emoji23][emoji23]
Sipangi foleni wala nini! Yanu nyie nyang'au kwenye application ya technology in real life hamtuwezi hata kidogo! Endeleeni kuota tu na kukabwa na majinamizi View attachment 2467820View attachment 2467824
Dar kama Dar.., no filter.., 80% ushago [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..,
View attachment 2467667
View attachment 2467668
Hivi kwa nini wanahimiza watu wenye type 2 diabetes watumie tuu insulin maisha yao yote badala ya kubadilisha style ya maisha? Wakifanya mazoezi (cardio), faida watakazozipata ni nyingi zaidi, mfano;
Uyo anakupa furaha ya uongo nawe unajiliwaza kiuongo uongo, kwn huyo hajui kama ka Nairobi ni kachafu kushoto kulia, kwn wewe hujui kama Kenya ni chafu kuliko nchi yoyote EA? Kwn we humjui uyo jamaa kwmb alikuwa anaitukana Kenya na Wakenya kwa matusi ya kejeli kuliko mtz yeyote kwenye hii thread? Je wewe hujui uyo jamaa alikuwa anaipamba Dar na Tz kwa kila aina ya mapambio? Je hujiulizi leo imekuwaje anaiponda? Mtu kama huyo wewe anakupa raha gn akiponda kitu ambacho alikuwa anakisifia au unajipa furaha ya uongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]The bitter truth..., kwa hili wenzako "watakupiga kwa mawe".
Bana wewe msee uko na akili mzuri? Inakuja kujibizana na WaTz kwa website yao. Mko na ujinga sana. Uko na miaka ngapi?
We njuka karibuBana wewe msee uko na akili mzuri? Inakuja kujibizana na WaTz kwa website yao. Mko na ujinga sana. Uko na miaka ngapi?
Huyu mama anajitahidi sana kuongoza hii nchi kwenye misingi ya utu na uwazi ikiwa ni pamoja na kutuletea maendeleo. Ni Rais muungwana sana. Nashangaa ambao hawaoni hizi tunu adhimu alizojaliwa na anazitumia vyema.Nukuu kutoka kwa Mama wa Taifa.👇