The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Unaweza kuona hapa jinsi ligi yetu ilivyo bora, haipo hapo kwa bahati mbaya ni investment kubwa imefanyika, hata bingwa wa ligi kuu ya Tanzania anapata pesa nyingi sana karibu mara 20 ya anachopata bingwa Kenya. Ndio maana ndoto za wachezaji wote East and Central Africa ni kucheza Tz kwanza kabla ya kwenda ulaya. Huku mchezaji mpira analipwa mshahara mkubwa kuliko Rais wa Kenya.Acha kujifariji bongolala. Hiyo ligi yenu ingekuwa bora ingejidhihirisha kwenye matokeo ya timu yenu ya taifa
Akili huwa hana huyo watchman.Asipoelewa muonyeshe hizi picha
Ligi tano bora (europe na dunian kote)
View attachment 2462520
Timu za taifa bora duniani
View attachment 2462521
Ligi yetu inaendelea kupandaView attachment 2462523
Kama hiv yan.. yey na teargas na mwingine mmoja mbongoπAkili huwa hana huyo watchman.
Huu mkoa angepewa yule jamaa aliempeleka njombe. Hii ni challenge ya hadhi yake.Kaka, Mwanza ni mji ambao una viongozi hawana vision kabisa.
Halafu wanaamini hakuna kitu wanaweza fanya bila serikali kuu kuwapa fedha, kwa ujumla no uthubutu
Alaf ajabu munamiliki 40% only iliobakia inakwenda kwa wenyewe ulaya π€£π€£π€£East African Superpower. We are kidnapping the region.
Safaricom in Ethiopia
View attachment 2462315View attachment 2462316
Asante kwa kukubali hamjui mpira. Now linganishaneni na rika zenu Somalia. Lastly, ligi yenu ingekuwa bora ingemanifest kwenye performance ya timu yenu ya taifa. Nchi zote zenye ligi bora timu zao za taifa zinafanya vyema kwenye mpiraSisi mpira hatujui ila tuna pesa tunasajiri mchezaji yoyote yule hapa Afrika na ndiyo maana ligi yetu ni moja ya ligi bora Afrika, wachezaji wote ukanda huu ndoto yao ni kucheza Bongo.
Repeat that again π€£πππLeague na timu ya taifa ni vitu viwili tofauti kabisa, timu ya taifa inategemea na wachezaji ulio nao. Sisi hatujui mpira kabisa, hii ligi yetu ni bora kwasabu tuna pesa tunanunua mchezaji tunayetaka na ndiyo maana unaweza kuona hata timu zetu za vilabu kwa ss huwezi kuziweka level moja na timu za ukanda huu haiwezekani zipo mbali sn kwa ss. Yote hyo ni kwasababu timu zetu zina wachezaji wa gharama kutoka mataifa ya West Africa, ulaya na Amerika.
Bongolala, nishakuambia kwamba ligi yenu ingekuwa bora timu yenu ya taifa haingekuwa number 38 hapa AfricaUnaweza kuona hapa jinsi ligi yetu ilivyo bora, haipo hapo kwa bahati mbaya ni investment kubwa imefanyika, hata bingwa wa ligi kuu ya Tanzania anapata pesa nyingi sana karibu mara 20 ya anachopata bingwa Kenya. Ndio maana ndoto za wachezaji wote East and Central Africa ni kucheza Tz kwanza kabla ya kwenda ulaya. Huku mchezaji mpira analipwa mshahara mkubwa kuliko Rais wa Kenya.View attachment 2462525
Repeat that again π€£πππLeague na timu ya taifa ni vitu viwili tofauti kabisa, timu ya taifa inategemea na wachezaji ulio nao. Sisi hatujui mpira kabisa, hii ligi yetu ni bora kwasabu tuna pesa tunanunua mchezaji tunayetaka na ndiyo maana unaweza kuona hata timu zetu za vilabu kwa ss huwezi kuziweka level moja na timu za ukanda huu haiwezekani zipo mbali sn kwa ss. Yote hyo ni kwasababu timu zetu zina wachezaji wa gharama kutoka mataifa ya West Africa, ulaya na Amerika.
Aibu [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bongolala, nishakuambia kwamba ligi yenu ingekuwa bora timu yenu ya taifa haingekuwa number 38 hapa Africa
Haya mshangilieni wote ππππππKibaha imetengeneza tu lorry Tisa tangu ianze kufanya kaziπππ€£. Na Bado mnataka kushindana na Kenya?
Isuzu Kenya.
View attachment 2462388
Tunamiliki 60% ya safaricom. 35% govt, 25% (free floating)local investors.Alaf ajabu munamiliki 40% only iliobakia inakwenda kwa wenyewe ulaya π€£π€£π€£