Unapenda kejeli. Hakuna mtu aliyesema kuna kosa. Ni design waliyokuja nayo. Ninyi mnasema treni zitakuwa zinaingia ndani, ndani wapi? Maana ni “tunnel” inayotengenezwa hapo ndio itakuwa njia ya treni kuingia, lakini haitakatisha ndani ya jengo!Hata hili naona kama wamekosea hebu toa mchango wako engineer mkuu🤣🤣🤣🤣
View attachment 2461935View attachment 2461937
Sio kejeli tatizo lako ww ni ujuaji mwingi sana sasa sijui ujuaji unakusaidia nn kujifanya everything unajua basi au ww google 🤣🤣🤣 render inasema hvo na engineer wenye dhaman wanasema hvo ww ni nani upinge ??? Au ww unajua kuliko alie design na anaejenga 😆😆 yani engineer anaejenga kaelezea vzr treni zitakazo shusha abiria zitaingia ndani ya jengo ww unapinga kama nani 🤣🤣🤣🤣Unapenda kejeli. Hakuna mtu aliyesema kuna kosa. Ni design waliyokuja nayo. Ninyi mnasema treni zitakuwa zinaingia ndani, ndani wapi? Maana ni “tunnel” inayotengenezwa hapo ndio inatenteneza njia ya treni kuingia, lakini haitakatisha ndani ya jengo!
Kwanza render Ina perspective moja. Hawajatoa renders nyingine zikionyesha nyuma ya station kutafananaje. Sasa nikuonyeshe Vipi? Ni entrance pekee ndiyo inaonekana. Kuna ile video Yule jamaa anayeelezea ali-skip picha ya cross section ya station. Ngoja nipige screenshot Halafu nikuonyeshe namaanisha nini ninaposema “extended canopy.”Hebu tuoneshe canopy kwenye hii render na ukiipata tafuta sehem yoyote unywe soda ntalipa mm engineer mkuu🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 2461940
Kipindi nimekuekea video ya engineer alikua akuionesha picha za renders nyingi tu je ulifungua video ukaangalia na je ulimsikia engineer akizungumza 🤣🤣🤣🤣🤣 so ww unajua zaidi ya engineer pamoja na designer ok its good for u 👏👏👏👏👏👏Kwanza render Ina perspective moja. Hawatoa renders nyingine zikionyesha nyuma ya station kutafananaje. Sasa nikuonyeshe Vipi? Kuna entrance pekee ndiyo inaonekana. Kuna ile video Yule jamaa anayeelezea ali-skip picha ya cross section ya station. Ngoja nipige screenshot Halafu nikuonyeshe namaanisha nini ninaposema “extended canopy.”
As a matter of fact, Nilitazama video nzima na Ndio Maana nilikwambia ninafahamu ninachokizungumza. Hii ni cross section ya Dodoma station na upande wa mshale niliochora Ndio nyuma ya stesheni. Hiyo structure ya juu ndio “Extended Canopy” tunayozungumzia. Take some time and analyze it.Kipindi nimekuekea video ya engineer alikua akuionesha picha za renders nyingi tu je ulifungua video ukaangalia na je ulimsikia engineer akizungumza 🤣🤣🤣🤣🤣 so ww unajua zaidi ya engineer pamoja na designer ok its good for u 👏👏👏👏👏👏
Ok asante engineer mpigieni makofi 🤣🤣🤣👏👏👏👏👏 so tunaomba yule engineer wa TRC ajiuzuru kwakua alitudanganya kwani tumepata engineer mpya jamii forum👏👏 na tunaomba kadogosa amteua engineer wa jamii forum mara mojaAs a matter of fact, Nilitazama video nzima na Ndio Maana nilikwambia ninafahamu ninachokizungumza. Hii ni cross section ya Dodoma station na upande wa mshale niliochora Ndio nyuma ya stesheni. Hiyo structure ya juu ndio “Extended Canopy” tunayozungumzia. Take some time and analyze it.
View attachment 2461960
Wakenya hawawezi kununua michina sababu hawana barabara nzuri za kupitisha hizo gari kama za TanzaniaMtanzania ni mtu mwenye mahesabu makali sana, bus za kichina ni 150 to 170m tena ni luxury wakat scania ni over 350m anapiga hesabu zake anaona chinnese bus inaweza kusota 2yrs na akarudisha pesa yake na akatia engine mpya ngoma ikanyanyuka tena ndio maana unaona leo soko la bus aina ya scania ni kama limekufa kabisa over 95% BUS ZOTE tanzania ni from china kwasababu ya bei na business issue na soon wachina watakuja kuweka assembly za youtong au zhongtong hapa tanzania
Wavimba macho wamehodhi kila kitu cha wakundustanMchina hauwes mkwepa ndio maana ndio nchi inaongosa kwa kuwadai pesa nyingi kenya na bado miradi mikubwa kenya yote ni yao na wanaimiliki wao 🤣🤣🤣 mchina unamkwepa wap
Expressway yao
SGR yao
Avic towers zao
Lamu port yao
Nn utaenea nje ya mchina kenge ww na mpaka misaada ya chakula wanawaletea
Hakuna kitu utanifundisha ww niamini nachokwambia 🤣🤣🤣 enjoyAs a matter of fact, Nilitazama video nzima na Ndio Maana nilikwambia ninafahamu ninachokizungumza. Hii ni cross section ya Dodoma station na upande wa mshale niliochora Ndio nyuma ya stesheni. Hiyo structure ya juu ndio “Extended Canopy” tunayozungumzia. Take some time and analyze it.
View attachment 2461960
Actually, Huyo “engineer” ali-skip kueleza hii cross section akakimbilia picha. Nina-doubts na competency yake. But time will tell. Tusuburi station iishe and I’ll have the last laugh.Ok asante engineer mpigieni makofi 🤣🤣🤣👏👏👏👏👏 so tunaomba yule engineer wa TRC ajiuzuru kwakua alitudanganya kwani tumepata engineer mpya jamii forum👏👏 na tunaomba kadogosa amteua engineer wa jamii forum mara moja View attachment 2461963
Tuseme ww unajua kuliko yule engineer basi raha sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣? Hata alie design hajui pia kaaah ama kweli Mungu kaumbaActually, Huyo “engineer” ali-skip kueleza hii cross section alakimbilia picha. Nina-doubts na competency yake. But time will tell. Tusuburi station iishe and I’ll have the last laugh.
I'll be here waiting to laugh with you together 😂😂😂Actually, Huyo “engineer” ali-skip kueleza hii cross section akakimbilia picha. Nina-doubts na competency yake. But time will tell. Tusuburi station iishe and I’ll have the last laugh.
But sikufundishi, ninakuambia. Ni mjinga pekee siku zote huwa conscious na uhaba wa maarifa alionao akiona mwingine anajua kuliko yeye.Hakuna kitu utanifundisha ww niamini nachokwambia 🤣🤣🤣 enjoy View attachment 2461965
Tusubiri tuone mutacheka au mutalia 🤣🤣I'll be here waiting to laugh with you together 😂😂😂
Ni “Mtacheka” au “Mtalia.”Tusubiri tuone mutacheka au mutalia 🤣🤣
Mimi tayari nishaanza kuwacheka🤣🤣🤣Tusubiri tuone mutacheka au mutalia 🤣🤣
Mm mwenyewe najua unaniambia vile vile anajua sasa sijui utaniambia nn 🤣🤣🤣But sikufundishi, ninakuambia. Ni mjinga pekee siku zote huwa conscious na uhaba wa maarifa alionao akiona mwingine anajua kuliko yeye.
Tatizo lako ni kuwa unafikiri kwenye huu uzi kila mtu ni low-life and uneducated. Think again.Tuseme ww unajua kuliko yule engineer basi raha sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣? Hata alie design hajui pia kaaah ama kweli Mungu kaumba
Kicheko chako cha maumivu 🤣🤣🤣 unacheka jengo liko 34% 🤣🤣🤣 asante kwa maumivuMimi tayari nishaanza kuwacheka🤣🤣🤣