Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Kumbe mpaka jubilee 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 Hii ni mbaya sana kumbe mpaka T-shirt wanaonunua kutoka Tz .. so nguo zao ni either second hand a.k.a mitumbas or Tanzanian made clothes 🤣🤣
Kumbe mpaka jubilee 🤣🤣🤣🤣
Soon wakenya watanunua Air Tanzania 😂😂
Narudia kukwambia ww unaleta 2022 news wakat mm nakuonesha hio kampuni ipo toka 2019 na uzalishaji unaendelea mzeeKuwepo kwake Toka 2019 kwani inaifanya isiwe kampuni ya Kenya😂😂🤣🤣
Kampuni ingine ya Kenya😂😂🤣
View attachment 2461519
Yani ona ilivokua na roho mbaya 🤣🤣
Muanze kununua KQ ambayo ineshatangazwa kuuzwa 🤣🤣🤣..Soon wakenya watanunua Air Tanzania 😂😂
nakufa mambo yamekua ni moto atoke umu uyo akalale ana jipya kunyaniNarudia kukwambia ww unaleta 2022 news wakat mm nakuonesha hio kampuni ipo toka 2019 na uzalishaji unaendelea mzee
Munaumia leo na maendeleo ya tanzania 😆😆😆😆😆😆😆😆
View attachment 2461527
Manufucturing industry ilikufa kabisa kipindi cha kibaki mwishoni alipoingia mlevi ndio akamaliza kitu 🤣🤣🤣 leo ukienda kenya utaona almost 97% wanaagiza vitu kutoka nje ya nchi🤣🤣🤣 Hii ni mbaya sana kumbe mpaka T-shirt wanaonunua kutoka Tz .. so nguo zao ni either second hand a.k.a mitumbas or Tanzanian made clothes 🤣🤣
Sasa mnataka hadi kukwamilia makampuni za Kenya? Sawa tumewaachia Basra🤣🤣😂😂Narudia kukwambia ww unaleta 2022 news wakat mm nakuonesha hio kampuni ipo toka 2019 na uzalishaji unaendelea mzee
Munaumia leo na maendeleo ya tanzania 😆😆😆😆😆😆😆😆
View attachment 2461527
Hao ni wazee wa mitumbas 🤣🤣🤣Manufucturing industry ilikufa kabisa kipindi cha kibaki mwishoni alipoingia mlevi ndio akamaliza kitu 🤣🤣🤣 leo ukienda kenya utaona almost 97% wanaagiza vitu kutoka nje ya nchi
Wameuza karibu kila kitu sio tu hio kq mpaka makapuni na miradi ya serekali yao mingi waliuza na zingine zilikufa kabisa angakia viwanda vya sukari kenya vyote vimekufa sasa wana import sukari nyingi kutoka brazil na uganda 🤣🤣🤣🤣Muanze kununua KQ ambayo ineshatangazwa kuuzwa 🤣🤣🤣..
Tutajunua Air Tanzania through KQ vile wakenya walitumia KQ kununua Precision Air.Muanze kununua KQ ambayo ineshatangazwa kuuzwa 🤣🤣🤣..
QK inauzwa hauna habari.? 🤣🤣 Wacha kuota kijanaTutajunua Air Tanzania through KQ vile wakenya walitumia KQ kununua Precision Air.
Tanzania kwenye manufacturing sector iogope kabisa tena miaka hii ndio musiguse kabisa 🤣🤣🤣🤣Sasa mnataka hadi kukwamilia makampuni za Kenya? Sawa tumewaachia Basra🤣🤣😂😂
Kq imewatoa uharo pamoja na kumiliki ndege tatu chakavu 🤣🤣🤣 ina loss miaka 12 na sasa munaiuza nimeskia wenzenu wanalalamika watakua hawana shirikaTutajunua Air Tanzania through KQ vile wakenya walitumia KQ kununua Precision Air.
Ebu nionyeshe Tanzania hapa🤣🤣😂😂Tanzania kwenye manufacturing sector iogope kabisa tena miaka hii ndio musiguse kabisa 🤣🤣🤣🤣
Keyboard worrier kama kawaida yetu 🤣🤣🤣 hii haimstui mtu, vitu kwa ground ni kwamba hata t-shirt mnavaa ni made in Tz.
Nikuoneshe tanzania ilipo ilihali hakuna kitu munauza tanzania 🤣🤣🤣🤣
Hii ni T-Shirts ngapi?🤣🤣😂🤣Nikuoneshe tanzania ilipo ilihali hakuna kitu munauza tanzania 🤣🤣🤣🤣
Who own ?? Mama ngina 🤣🤣🤣🤣