Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe bongolala wacha ligi za kitotoView attachment 2460048View attachment 2460050View attachment 2460051View attachment 2460053View attachment 2460055

Tukimaliza hii ujinga tulinganishe pia na mabalozi pia, haswa kati ya kenya na Tanzani
Majengo yenu Ni local Sana 🤣🤣

Tunduma Border post👇
Screenshot_20221227-203147.png
tunduma_town_council_1668864743244744.jpg
tunduma_town_council_1668862723954357.jpg


Namanga Border post 👇
namanga.jpg
a1-osbp.jpg


Hororoho Border post 👇
Sirari post.jpg
Sirari office.jpg
IMAG1853_1.jpg


Mutukula Border post 👇
1672161873194.jpg
1672161890063.jpg
1672161930464.jpg
1672161955848.jpg
1672161989186.jpg
 
Pole kwa maumivu.

TPA tower was designed by Kenyans
Rock city Mall Mwanza was designed by Kenyans
Tanzanian parliament in Dodoma was designed by Kenyans
East African Parliament in Arusha was designed by Kenyans.
Mkilipwa pesa za usanifu au mmekopwa?
 
Kwanza unajua maana ya hii taarifa na hii taarifa imekuja tu baada ya upanuzi mkubwa wa dar port ndio taarifa hzi zikaibuka sasa upanuzi uko mbioni kumalizila msubiri muelewe maana ya hii habari🤣🤣🤣🤣


Unatuletea taarifa ya 2018 unataka tufanyaje? 2022 Dar is still handling 17M tonnes annually 😂😂
 
Unatuletea taarifa ya 2018 unataka tufanyaje? 2022 Dar is still handling 17M tonnes annually 😂😂
Hio taarifa imetoka baada tu ya upanuzi kushika kasi dar sasa upanuzi uko mbioni kuisha tusubiri tuone matokeo je ni kweli au urongooo😆😆😆 na ninajua majibu unayo
 
Hio taarifa imetoka baada tu ya upanuzi kushika kasi dar sasa upanuzi uko mbioni kuisha tusubiri tuone matokeo je ni kweli au urongooo😆😆😆 na ninajua majibu unayo
Upanuzi gani unaendelea? 😂😂😂
 
Back
Top Bottom