Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wonders never end!

The newly opened Lagos Metro Rail
Fk8tLbxakAAeuQ6

see the locomotive at the back dragging the supposed to be MDM!

Kenya na Nigeria ni ndugu wa damu kwenye rushwa na projects za hovyo.
 
Kwani shida nini?
Your sgr is owned by Chinese.
Your expressway is owned by Chinese.
GTC towers all are Chinese properties etc.
If that's how you reason then tell me Who owns your SGR? Who owns Ubungo interchange? Who owns your BRT? Who owns Tanzanite Bridge?

Alafu unataka kujua shida ni nini? Out of the three malls in Tz, two are owned by foreigners and the remaining one was designed by Kenyans.
 
Mkunya a-design building in Tanzania? Uwezo wenu huishia Kibera!
 
Idea yangu ilikuwa Serikali ibomoe units zote hapo za ma Polisi na kujenga 1 Big tower ambayo itakuwa na residential units za ma police wote wa Posta na Traffic offices mpya , ita save space kinoma the land around can be sold to other people for other towers hapo inaweza kujengwa mutiple towers . Ni eneo kubwa sana ambalo lipo mjin na lina potential cause ya SGR na BRT pembeni.

A 50 Tower Floor Or 25 floor x2 . can do wonders .hapo

1. Office units za Traffic , Police , Uplelezi Etc

2. A separate 25 floor or 30 floor for traffic police wanaoishi CBD na Ma police wengine
 
Hivi hujaona kilichotokea Oysterbay? Polisi ndo wawekeze wenyewe kwenye prime locations zao ni bankable na si upuuzi kama wa Oysterbay Mhindi yule anaenda kuiuza ile ardhi!
 
Unataka wao wawekeze au Goveremnt , maana ,najua wao wakiwekeza itakuwa majanga
 
Back
Top Bottom