Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The best 007 unajua hu mji ulianza kama hadithi tu wanga wakasema haiwezekani but yo hii Hapa ni historia fupi tu ya Magufuli city ..mawazo yalitupeleka hapa👇wakatucheka sana 🤣🤣 but yo sisi sio wao tukafika huku bhana 👇.. we unadhani watapenda akina Don YF na Teargass. Mkitaka muje muuvunje huu mji maanina zenu 🤣🤣🤣
 
Crane mbili pekee. While Mombasa Port ikonazo 16. Bado mko nyuma sana, endeleeni kutia bidii. 👏

Ikiwa Dar itapata crane hata 5 basi mombasa itakua ni upuuzi tu.. 16 cranes in Mombasa port na Ina handle 30 million tonnes vs 2 cranes in Dar port zenye zina handle 22 million tonnes .. heb ona vile hizo cranes zenu nyngi ni useless ..
 
Kwa hiyo simu haziwezi leta tatizo kwenye usalama wa nchi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikiwa Dar itapata crane hata 5 basi mombasa itakua ni upuuzi tu.. 16 cranes in Mombasa port na Ina handle 30 million tonnes vs 2 cranes in Dar port zenye zina handle 22 million tonnes .. heb ona vile hizo cranes zenu nyngi ni useless ..
Si eti hamkua na STS cranes, mlikua nazo lakini zilikua chache compared to what Mombasa port has. Zilikua zinamilikiwa na TICTS ambao walikua wanarun 80% of port operations hadi contract yao ikaisha. TPA hawakua wanamiliki any STS cranes ndio wamenunua juzi tu. Dar port imehandle 17 million tonnes pekee according to recent data.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…