chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,742
- 46,084
Ni hawa kenge tu wa humu, ila wakenya huwa wakituona utawashangaa wanatuona kama Malaika πWatu wa Mombasa wakarimu sana mna uhakika hawa sio Watanzania? Bodaboda kagonga gari yangu wenzie wanamlaumu 'kwanini sasa unagonga gari ya Magufuli'
π π π π Umesahau kuwaambia hili ni kwa pesa zetu, ajitokeze mkenya akuoneshe mradi wa $3B uliofanyika kwa pesa zao π€£Wakenya wamebaki wanashangaa shangaa hawaamini wanachokiona, kila siku tunaweka vitu vipya ambavyo kwao ni ndoto za alinacha. Huku electrifitried SGR, kule BRT system, hapa bwawa kubwa la umeme linaloingiza vi Nairobi viwili, pale station ya train kama ulaya treni inaingia ndani ya station, hapa meli kubwa kuliko zote East and Central Africa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huwezi sema tunajenga kwa pesa yetu bila kutambua source ya Pesa yako hiyo, kwani wengine hujenga kwa Pesa ya Nani? Hata msaada ukipewa Ni yako lakini Ni msaada..'Pesa yetu tutalipa'. Sasa mbona mtu akisema tumejenga reli kwa pesa zetu mbona mnamnanga.. mnasema anatudanganya
Kuna wakenya wapo Mwanza wanafanya vlogs (sio wale wadada watatu) huyo kijana anashangaa mbona Mwanza kuna maeneo mazuri hivyo yanayoshawishi utalii (Capri point neighborhood π ) lakini Watanzania hawayatangazi kabisa, analaumu Watanzania kwa kukaa kimya wakati wana vivutio vingi vya utalii Mwanza π€£ nikajisemea sisi tunaona kawaida hatubrag kwa vitu vya kawaida, nikavuta picture laiti wakenya wangekua na maeneo kama hayo dunia ingekoma kuwajua πHakuna kitu kipo Kenya kikakosa kuwepo Tz ila kuna vitu kibao vipo Tz huwezi kuvipata popote pale East and Central Africa and may be in all African countries except two or three countries. Now tumeongeza na station kali ya sgr ya Dodoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787] Hao wanapewa mpaka rushwa za chapati na rais [emoji23][emoji23]
View attachment 2456740
Ufukara wa kutisha uzuri wanajijua, sasa huku ndio penye ahueni vipi ingekua huko North au Coast?
Jam la Kaskazini ni toka uhuru we boya, tena ni jam natural tofauti na jam lenu hilo la kuletwa na ubovu wa barabara.
Kilichotokea Kenya, madereva walikosa ustaarabu wakatanua huku na huku wakazibana. Walikaa 20hrs barabarani.View attachment 2457042mtanganyika ni mtu hakubali kushindwa na hasa mkenya...
hivi, baada ya kuona trafic jam kisumu.. (yani nje ya nairobi)..
sasa ana try pia kutuonesha trafic jam venye kuko, nje ya darslam.!π€
π€£π€£π€£π€£π€£π€£
yani nimecheka yangu yooooote!.π€£
Mtu mmoja anaweza kua na acc zaidi ya mojaKenyans are poor na ushahidi wameuweka wenyewe shemzi![emoji23][emoji23][emoji23]
*68 million account and they are at $56 billion
*Tanzania at 33 million accounts we are at 49 billion.
*Tofauti yetu ni $7 billion only with a difference of 35 million accounts!
*That means our transactions have more value than theirs [emoji23][emoji23]
* Other thing to note is the population of Kenya is 58 million people but there are 68 million accounts???? Food for thought there
*Could have these numbers been inflated as usual? [emoji1745][emoji1745][emoji23]
Ambazo hazina fedha!Mtu mmoja anaweza kua na acc zaidi ya moja
kisa.. tanganyika mna magari machache mno per capita! ie. (magari machache zaidi per a thousand no. persons)..Kwa December ni mambo ya kawaida ila kwasababu sisi ni wastaarabu huwezi kukuta gridlock kabisa.View attachment 2457320
Comment from Kundustan Republic π π πkisa.. tanganyika mna magari machache mno per capita! ie. (magari machache zaidi per a thousand no. persons)..
sababu kuu.. tanganyika nchi maskini sana, yani a true definition of an LDC countryπ
ππππππππππππHapa badala ya Kusaidia ataua na kuumiza watu wengi, angepita kila nyumba Kimya kimya ila sio hii Staged ******.
Ha ha ha sasa hivi niko Kenya. Nimesikitika sana na kukumbuka maneno yenu. Sitaki kuweka picha mbaya zinazoonesha jinsi mnavyojidanganya. Tz na Kenya ni pipa na mfuniko.kisa.. tanganyika mna magari machache mno per capita! ie. (magari machache zaidi per a thousand no. persons)..
sababu kuu.. tanganyika nchi maskini sana, yani a true definition of an LDC countryπ
Ukiizoom hiyo comment unaiona imebeba machozi Lita 20 πComment from Kundustan Republic π π π
TPA saivi kila siku kuna meli ya magariHaya magari yameshushwa na meli moja tu hapa DSM. Kundustan Republic wanahaha kutuonesha tugari twao huto.
View attachment 2457389
Wacha kuchanganya mambo pale tunnel inayohitajika ni ya BRT inayopita lane mbili za kati Nyerere Road ili kuepusha BRT phase III ku-block magari yanayopita na yanayotoka na kuingia Mandela Road. Idea ni nzuri ila sijui kama Mbarawa ana uthubutu!Nakuelewa kamanda lakini fikiria vizuri, pale tuna lane 2 za BRT, kuchonga tunnel maana yake inabidi uwe na lanes 4, 2 zinyooke na 2 ziganywe kwenda buguruni na nyingine mwenda kurasini, hapo ndio mtihani, hakuna hiyo nafasi.