NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,395
- 17,977
🤣 🤣 Mbwa iko na wig.
🤣 🤣 Mbwa iko na wig.
Bado unaleta picha zako za stranded passengers kutudanganya. You think we don't know the story behind those photos??
Vipi nairaland siku hizi huonekani kulikoni!?🤣 🤣 Mbwa iko na wig.
Nairobi is a global city. When Dar start to attract advertisement from global brands like Redbull Motorsports?
Akili Yako inakusaidia kweli? Sasa hizi unatuonyesha ili tufanyaje?
Ninakuonesha ulie.Akili Yako inakusaidia kweli? Sasa hizi unatuonyesha ili tufanyaje?
Akili Yako inakusaidia kweli? Sasa hizi unatuonyesha ili tufanyaje?
Mbona ya kawaida tu? Kenya tunajenga dual carriageway 250km na haturingi?
Mnajenga!!! Issue ya kuweka umeme SGR imeshindikana!?Mbona ya kawaida tu? Kenya tunajenga dual carriageway 250km na haturingi?
kunyan huwezi kuwaona wakipita hapa,wana roho mbaya sanaWakati wakenya wanaendelea kupiga kelele. Tanzania inasambaa. Sasa tunaenda kuwasaidia Malawi
Mambo yanazidi kupamba moto 🔥Tanzania 🇹🇿 na Malawi 🇲🇼 Sekta ya Afya 🔥
View attachment 2455445
Tushajenga za kwanza 150. Hivi dual carriageway ndefu hapo Dar no km ngapi?Mnajenga!!! Issue ya kuweka umeme SGR imeshindikana!?
Sisi tunajenga BRT. Unajua maana ya BRT!?Tushajenga za kwanza 150. Hivi dual carriageway ndefu hapo Dar no km ngapi?
Hebu naomba nipatie maelezo hapaTanzania is now more corrupt than any other country in East Africa 😂😂😂
Daraja la 4 million Kenyan shillings 😂🤣
View attachment 2455883