Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani nimecheka sana tena sana ndio maana nimekwambia toka asbh kwa leo pumzika 🤣🤣🤣🤣🤣 yani ni vichekesho vikubwa
View attachment 2455641View attachment 2455642
eti anaweka blurred image kujiliwaza, mbona usiweke clear? unaumia? hauamini.., mwehu wewe, nimekunyonga na kaMwanza kako..,
Wacha niweke picha clear kutoka kwa hiyo drone views ya youtube, naumbua propaganda zako za ku shade image ionekane imechakaa, ukweli inauma😝 😂 😂 😂 😂 😂 😂 ...,

Yaani Bamburi ingekua Tanzania ingesimama kama city kivyake, na kama ingekua Dar hii ingekua CBD nyingine.,mko hovyo sana ichoboy01 😂😂😂😂😂😂😂
1671789155950.png

1671789224035.png

1671789240588.png

1671789252702.png

1671789270198.png

1671789287903.png
 
Raila amekua mtu wa kulalamika maisha yake yote
Apumzike, I voted for him, but Ruto is doing fine.., nimeanza kupenda strategies zake.., mzee apumzike, let him criticize the govt kama mpinzani.,
 
Apumzike, I voted for him, but Ruto is doing fine.., nimeanza kupenda strategies zake.., mzee apumzike, let him criticize the govt kama mpinzani.,
Raila ni mtu muhimu sana kwenye siasa za kenya na anaongea facts mm always niko upande wake no matter what
 
Apumzike, I voted for him, but Ruto is doing fine.., nimeanza kupenda strategies zake.., mzee apumzike, let him criticize the govt kama mpinzani.,
Anaisaidia serikali kuongeza umakini tu..ila daah hapana hamaa ana guts
 
Back
Top Bottom