NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,284
- 19,627
Umesoma nilichoandika? External debt yenu ni 40%, yetu ni 32.6%, Nani Aliye na shida Kati ya hawa wawili?Kama hizo figures zingekuwa za uongo tusingekopesheka. Hizi financial institutions zina watu wao wanawapa taarifa za nchi husika. Unafikiri kazi za balozi ni kutoa viza tuu?
Mwenyeshida ni yule asiye kopesheka.
Inaonekana hii issue ya Ghana kufilisika imekusononesha sana, hasa kwa kuwa Kenya ipo kwenye mwendo huo huo. Pole sana jirani, mmejitutumua sana kumuiga tembo kunya mavi makubwa, msilie sasa.
Nimemkumbuka Mh JPM mbali na madhaifu yake kufufua reli ya kaskazini ilikua kazi moja ya Heshima kubwa kwa watu wa Kaskazini...
40.1% is your external debt only, not your total debt. Kadanganye mafala kama akina Venus StarKenya as of 2021, 67.8% ( Tz 40.1%)
Tanzania ni 37% mzee40.1% is your external debt only, not your total debt. Kadanganye mafala kama akina Venus Star
Chamoto kumbe na wewe ni mzushi?Ghana waneshafikia deni la zaidi ya 78% ya GDP, sisi bado sana, hata 50% hatujafika.
Kuhusu hiyo $10b, wewe hujui siasa zetu za ndani, kauli hiyo imesemwa ili kuficha uwezo mdogo wa uongozi wa awamu hii ya '6'.
Awamu hii haijatumia pesa za ndani hata kidogo kuendesha miradi, kutokana na ukusanyaji mdogo wa kodi. Makampuni hayalipi kodi, serikali haina pesa mpaka wameamua kuwakamua tozo wananchi. Hivyo kwa kuwa wamekopa sana wanaona aibu ndiyo maana wameamua kutoa figure ya jumla ($10b) bila maelezo.
Citizen TV ni noma.., those vehicles are called OB vans.., (outside broadcasting vans) still needed today., Citizen has many OB Vans na pia wako na chopper..., I doubt kuna any media house in Tz with a news Chopper..,Citizen ni station ya juzi imekuja kama tushaondokea huu upuzi wa kuzunguka na jigari limejaa misatelite.
Acha wakope tu alafu tufikie hali ya Ghana na miradi yao isiwe na tija ndio tutaelewana vizuri...Nilitegemea hiki ndio kipindi cha kwenda taratibu wao wanaonekana wanapupa sana...Another one
Sawa nimeiona hiyo expressway π π π π π π π π π
Hali ya Ghana ikoje. Mbona propaganda zinakuwa nyingi.Acha wakope tu alafu tufikie hali ya Ghana na miradi yao isiwe na tija ndio tutaelewana vizuri...Nilitegemea hiki ndio kipindi cha kwenda taratibu wao wanaonekana wanapupa sana...
Matokeo yake mwaka ujao wa fedha watatenga zaidi ya 10trillions tshs kuhudumia mikopo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni dogo mmoja hiv kitaan, anaitwa David.. so nadhan YoungDee ni Young David [emoji3]
Sawa David.mna kichaa nyie, siwezi jihusisha na chochote cha tanzagiza,
Hii nyimbo ni kali sana [emoji2][emoji2]Wakenya waanza kuukubali mziki wa Singeli toka Tanzania[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ukinionesha BRT Nairobi najinyongaSawa nimeiona hiyo expressway π π π π π π π π π
Leo umewapiga sn [emoji119][emoji119][emoji119]You have become very miserable today. After knowing that kenya is far behind
You think business is receiving cash and giving change!For your information I did business in Highschool and I got plan A, I also did Basic Economics in first Year and I got A plan as well. So as far as basic business is concerned you can't tell me anything.
Mavumbi kama Ghana au Uganda, a clearly picture from third world country.
Hakuna, usijinyonge, nakuhitaji ili niendelee kukuumbua na kukuponda kabisa mwanangu, usife jamani, haipo π π π π π π πUkinionesha BRT Nairobi najinyonga
Hebu pitia kipande hiki kisha uniletee kutoka Nairobary kivideoHakuna, usijinyonge, nakuhitaji ili niendelee kukuumbua na kukuponda kabisa mwanangu, usife jamani, haipo π π π π π π π
Ghana wameshagonga ceiling ya kukopa, na bado hali sio nzuri revenue yao haitoshi kugharamia serikali....Hali ya Ghana ikoje. Mbona propaganda zinakuwa nyingi.