Mkwanzania
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,352
- 5,414
Kitu ambacho hujasema na hautasema ni kwamba Azam TV inaenda Afrika nzima na Citizen TV imeishia Kenya, hata ukiangalia kwenye other super brand businesses, Toyota ina followers wengi na matangazo mengi kuliko Ferrari. π πMimi hasira zako usiniletee. Citizen Tv pekee has 16.8M followers while Azam Iko na only 9.1M followers on social media πππ€£π
Sasa mbona hayo mambo sisi tuliishasahau? Nyie bado yapo kwenye ahadi za Rais?πππ Fanya research usijiaibishe, filing returns ni online, online and automatic payment are different π
Wewe jf huwezi hama ata siku moja.., uta change ID, sio mara ya kwanza, nawajua, ukubali ukatae fact remains boya πIle siku utaniletea uthibitisho kwamba expressway ya mchina ina elevated section ya 11km ndio siku naondoka jamiiforums, hv nyie uongo unawasaidia nn? Kwn ukiishi kwenye zone yako utapata shida gn?
Mradi mkubwa ndio huu sio expressway
MY TAKE
levels Kundustan wazee wa cement consumption hawawezifikia!
Wapo wengi tu ambao kama hawapo ukiongezea akina Juma Aweso, Jafo, Simbachawene.. wanaosikika au kuonekana sana ni Mwigulu, Dr Tax, Bashungwa (kaanza kupotea, kapelekwa jeshin), Bashe, Prof Mbarawa, Nape na Obama wa BongoUmmy siku hizi kama hayupo vile.
Wanakwenda na mdundo wa ngoma.Wapo wengi tu ambao kama hawapo ukiongezea akina Juma Aweso, Jafo, Simbachawene.. wanaosikika au kuonekana sana ni Mwigulu, Dr Tax, Bashungwa (kaanza kupotea, kapelekwa jeshin), Bashe, Prof Mbarawa, Nape na Obama wa Bongo
Wala sio utani, niko serious.Unaweza andika kiutani utani lakini kuna watu mawazo yao yako hivyo
Nilishawahi kusema Ummy wa Magufuli ni tofauti kabisa na Ummy wa SamiaUmmy siku hizi kama hayupo vile.
Wanaotamba sasa hivi na wanaweza kukujibu lolote ni Mwigulu, Nape, Obama wa Bongo na MbarawaWapo wengi tu ambao kama hawapo ukiongezea akina Juma Aweso, Jafo, Simbachawene.. wanaosikika au kuonekana sana ni Mwigulu, Dr Tax, Bashungwa (kaanza kupotea, kapelekwa jeshin), Bashe, Prof Mbarawa, Nape na Obama wa Bongo
So umekubali Citizen Tv is way bigger than Azam Tv?πππ€£π Alafu nani anajua Azam Tv nje ya Tanzania?After that utuambie citizen ilianzishwa mwaka gani na azam ni ya mwaka gani utaona tofaut kubwa sana π€£π€£π€£ ndio maana unaambiwa azam media ndio inakuja kuchukua khatama ya dstv africa sio kenya tu tunazungumzia africa
Azam TV haijulikani nje ya Tanzania na ndio maana hata social media followers hawafiki 10 million ππWewe kweli ni boya.
Azam Tv inashindana na DSTV wewe unatetea kituo
View attachment 2454076
Tuoneshe hiyo Citzen kwenye nchi zingine.
Ubaya hakuna mwenye anatazama Azam huku Kenya.Kenya tunawafuata huko huko
View attachment 2454078
The meaning of followers in broadcasting industry is acceptance and love. Mtu haezikufuata kama hakupendi and that love of Citizen is why it has many followers than Azam.Kitu ambacho hujasema na hautasema ni kwamba Azam TV inaenda Afrika nzima na Citizen TV imeishia Kenya, hata ukiangalia kwenye other super brand businesses, Toyota ina followers wengi mengi kuliko Ferrari. π π
Ila hiyo Azam ni ya Mwarabu, Citizen ni ya Mkenya mweusi.Wewe kweli ni boya.
Azam Tv inashindana na DSTV wewe unatetea kituo
View attachment 2454076
Tuoneshe hiyo Citzen kwenye nchi zingine.
I think when they want to about package basi ZUKU is better than Azam. It has wide coverage and it also offers fixed internet services.Ila hiyo Azam ni ya Mwarabu, Citizen ni ya Mkenya mweusi.
Azam ishindane na ZUKU kwanzaπππazam media ndio inakuja kuchukua khatama ya dstv africa sio kenya tu tunazungumzia africa
Asante kwa kukubali kuwa Azam ni kubwa kuliko Citizen.Ila hiyo Azam ni ya Mwarabu, Citizen ni ya Mkenya mweusi.
Nimesema ni ya Mwarabu, sijasema ni kubwa kuliko Citizen. Kuelewa kwako ndio shida. Hapo Tz mmejaa ukabila ni kuficha mnaficha otherwise Waarabu na Wahindi hawangekuwa wanammiliki jinsi wanavyommiliki.Asante kwa kukubali kuwa Azam ni kubwa kuliko Citizen.
Naona unaendelea mambo yenu ya ukabila yaliyoko huko kenya. Tanzania hatuna ukabila
Onesha facilities za ZukuAzam ishindane na ZUKU kwanzaπππ