Kweli kabisa, watu wanataka kuupindisha ukweli kwa sababu ya incompetence kama REAL Comrade Kipepe anavyosema.Dar hadi Moro ndiyo fedha za ndani, na hadi JPM anaondoka ilikuwa imeshakamilika reli yote ilibaki vitu vya ziada tu.
Na alisema phase inayofuata mpaka Makutupora Dodoma ndiyo mkopo kwa asilimia kadhaa na alishauchukua yeye mwenyewe wa ujenzi huo aliusaini.
Atuambie mkopo aliyochukua ni wa phase ya ngapi.
Msikilize huyu mama kama yuko timamu kichwani!Umenifanya mpaka na mimi nianze kucheka kama chizi………..😅😅😅 acha nongwa we Mzee, Samia anajenga nchi haijapata tokea……..😂😂
Kweli kabisa, watu wanataka kuupindisha ukweli kwa sababu ya incompetence kama REAL Comrade Kipepe anavyosema.
Eti mtu analinganisha Kibaha highway na Nairobi Expressway? He must be sick in the head. Hiyo Kibaha can't even come close to Thika Road sembuse Expressway?Maumivu haya, Kibaka road huwezi linganisha na Expressway wala Thika Superhighway.., or Uganda's Entebe express highway.., mko nyuma bado.., elavated section ya expressway ni 11.2KM inakuuma sana hadi unajaribu kuidunisha eti 6km., pole mjukuu ukweli inauma sana., mko below Uganda 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 flyover gani hizo ziko Tz?.., ama ni zile ziko Dar pekee?.., mko down bado wacha kujitetea sana, haubadilishi lolote, unatia huruma tu..,
Nilliona hii kaka nikasema this **@#$Ona hii kaka!
Na mbona huwa hatuambiwi pesa zilizokopwa kwa ajili ya sgr?Mama amepiga hapa kujisafisha na hali yake ya ukopaji uliokithiri! Sio kweli kuwa vipande vyote ni mkopo.
Hawa walipinga yote ya Magufuli kwakua hatoweza. Urais sio sawa na uke wenza.
Mimi niliona nikae kimyaNilliona hii kaka nikasema this **@#$
We acha tuu ndugu yangu, unaweza ukaongea hapa watu wakadhani umerukwa na akili.Mimi niliona nikae kimya
The argument of most Tanzanians here is that Tanzania funded sgr through internal revenue sources and this came as a result of JPM constantly stating so. When Mama took over, she openly said that most of your projects, sgr included, are funded by loans. The point is, no one is denying that your government used some some to fund sgr, but to make people believe that it is Tanzanians' money 100% like JPM did is pure lies and dishonety.It was impossible for him to get a loan from the west to fund this project, they don't provide funds of this kind in Africa. China was the only country that was willing to do so but JPM didn't want them to have full control of the project, like they do in your country.
JPM thought process was ahead of the curve, he wanted us to participate fully in the project, without having to rely on any foreign entity in decision making, so he declined the offer. Phase one was divided into five sections, each one was to start individually whenever funds were available.
To keep the ball rolling, GOT fully funded the first section (Dar es salaam - Morogoro) and provided a portion of the money to start the second section (Morogoro - Makutupora), AfDB funded what was left off. So to say that we never funded any part of it with our own money, you must be higher than giraffe pussy.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huna gari wewe. Unaendesha takataka.
Hii ni PPP project, na huyo mtu ni wachina.Ona hii kaka!
Hii ni PPP project, na huyo mtu ni wachina.
Kwa Tanzania ni sehem ndogo sana, mana mchina atajenga kuanzia Uvinza (mchepuko waa Tabora-Kigoma SGR) hadi Musongati (Burundi) hadi Gitega (Burundi).
Mim naona ni faida kwetu, mana kuna namna mchina atafanya hio kipande chake kiwe na faida hivyo kuleta faida kwa line yetu to Dar port
Line ya uvinza sidhan itafata ya Kigoma-Tabora hadi mwisho, itakuwa ni mchepuko kwenye line ya Kigoma-Tabora..
Umeme kwa treni ni kidogo sana, acha kujifarijiBongolala our sgr can be electrified anytime we feel there's a need to do so. At the moment, our electricity demand can't allow us to do so. Remember Kenya produces more electricity than your country but due to our high demand, we still aren't able to electrify ours.
Nyinyi mnatengeneza umeme kidogo but due to your low electricity demand, you managed to electrify your sgr. Don't get emotional bongolala. We have no business getting jealous of a neighbour who produces less electricity and has lower demand for the same than us!
Tully, some of what was said here was trolling but JPM was very open about which project was funded by the GOT and which one was not. Do you think Akinwumi Adesina was frequently visiting Tanzania to see wild animals?The argument of most Tanzanians here is that Tanzania funded sgr through internal revenue sources and this came as a result of JPM constantly stating so. When Mama took over, she openly said that most of your projects, sgr included, are funded by loans. The point is, no one is denying that your government used some some to fund sgr, but to make people believe that it is Tanzanians' money 100% like JPM did is pure lies and dishonety.