chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,125
Sasa nani kakwambia Tanzania hakuna? Tena mfano government bills huwezi huwezi huwezi lipa kwa cash, kunyaland ni ndoto ya mchana hiiYes in Kenya sio lazima utumie cash. Kila mahali ni cashless sikuizi.


