Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

dar kama dar kweli..

ila hawa mandugu wa rika moja hawa.. ie. Mbeya vs kisii hapa hivi👇🏽


kisii👇🏽View attachment 2444525View attachment 2444526View attachment 2444528View attachment 2444529View attachment 2444530View attachment 2444531View attachment 2444543
Mbeya 👇
20221211_111243.jpg
20221211_111312.jpg
20221201_061623.jpg
20221125_083717.jpg
20221127_144235.jpg
20221125_083948.jpg
that_mbeya_guy_1670703789225408.jpg
that_mbeya_guy_1670703664271853.jpg
that_mbeya_guy_1670704698286727.jpg








uMbeya tupu👇🏽View attachment 2444539View attachment 2444540View attachment 2444541View attachment 2444542View attachment 2444535View attachment 2444536View attachment 2444533
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Tanzania ni 6 world.., hii kijiji ni City!!!!.., Uganda B 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Alafu utaskia wakikuambia ati they are more urbanized kumbe vijiji ndio wanapachika city status🤣🤣😂🤣
 
Ila bado ni below standard, housing ni zile muundo ya kizamani.., mji unakaa ancient town in 2022, has an old look, looks like most Ugandan towns..,
20221211_111154-jpg.2442749

A town should look like this (Thika town) kwa mfano, haijafika ila inaonyesha it is a town, Mbeya has a village look, hope Mbeya haijatajwa kama city in Tz kwa vile serikali yenu na ya Uganda wako na hio tabia ya kutaja substandard towns eti ni City...,
View attachment 2444639
View attachment 2444641
View attachment 2444640
Kuna miji mizuri tu Tanzania na haijatajwa kuwa ni cities
Iringa, Moshi, Tabora, Morogoro, Singida na miji mingine kibao
Mbeya imekuwa city sio kisa hayo majengo. Iringa na Moshi town ni pazuri kuliko hata Mbeya ila sio cities
Kila nchi ina standards zake katika kuuita mji fulani "A City"
 
Hii ni coverage kubwa.., CBD ya Mbeya wewe hauoni?.. this is the epicenter ya Mbeya mjukuu.., tazama from background kuleee, to the foreground., huwezi linganisha Thika na ata KaDodoma kenu., wacha kujitoa ufahamu, unajiliwaza na vijimaneno eti., pole mko down sana. eti Mbeya ni city Tanzania😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
20221211_111154-jpg.2442749
Dodoma ipo gud bro ila Mbeya nawapa hapo ni CBD, Actually Dodoma CBD ake inapanuka na kupendeza sana, means changes zinafanyika kila siku. Now naweza compare Dodoma na Naiporini na zikatoshana Nguvu, Kenya commercial city na Capital City ni hyohyo 🤭🤭🤭
 
Back
Top Bottom