Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Macho yako yakaruka pale pa "according to their official website" na yakaona tu "and Wikipedia". Must be an error of omission. Au JF hapo Dar haionyeshi hip sehemu?

Sijakataa mna 70km za reli dar mjini, ila Nai ina 160km za reli mjini, na ukumbuke ki ardhi no ndogo kwa Dar Mara tatu hivi kwahivyo rail per kmsq should be 5times more.

Sijaona popote mtandaoni kumeandikwa BRT yenu ina mabasi 600, nimeona tu ya 140 Mara mbili. Ukiweza kutupea hip tovuti tutashukuru.

Na BRT ni mradi mzuri sana katika kumaliza msongamano, Nairobi yafaa kuiga hilo na serikali imeiweka mpangoni. lakini mabasi 140 pekee hayawezi maliza daladala Dar, ikiwa Nairobi bus companies zina kwa ujumla mabasi takriban 4000 na bado matatu 16000 zasafirisha watu mjini. Na ukumbuke idadi ya watu Nairobi proper ni ndogo kuliko Dar, ingawa ukiongeza na metropolitan area itakua kubwa na asilimia hamsini hivi
Kwanza usiringanishe idadi ya daladala za dar na matatu ya nairobi kwa wingi utaumia ndugu dar kuna daladala kibao hazina mfano wake na nimeshakwambia BRT waliongeza bus nyingi sana na sasa wanaanza kutumia bus zinazotumia gas ...... alaf nilikwambia city train is over 70 km sio 70 kamili.... na ukumbuke hapo hapo sambamba na hio reli tunajenga modern electric train ambayo bado zitasaidiana na ya zamani
 
Wakenya watasubiri sana, Kuhusu Usafiri kuanzia Majini, Barabarani, Reli wanatuzidi ndege tu
Ndege zenyewe zina wenyewe hawamiliki hata bawa la ndege la shirika hilo zote ndege za kulease na sasa kampuni imeyumba miaka minne sasa inazalisha hasara mwanzo mwisho
 
Rajkot-bus-stand.jpg
View attachment 599850
Hii ndio stand mpya itakayojengwa Mbezi??
Naona kuna Maduka ya kisasa hapa
 
Back
Top Bottom