Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

600 ukatoa wapi, hizo basi ni 140 according to their official website and Wikipedia

na line ni moja tu, 21km long with a daily ridership of 100000ppl for a city of 4m ppl. It's a step towards the right direction but hardly sufficient enough to replace those daladalas

Good for you. Reli Ya Nairobi ni 160km, macampuni makubwa ya mabasi kama vile citi hoppa (740 busses), citi shuttle (830 busses), KBS (980 busses), Double M zipo lakini bado matatu zipo. Kwa hivyo hata hio BRT ifikishe mabasi 1000, bado haitatikisi jinamizi LA daladala, unless people decide to walk

fleet_number.jpg

Nikajua umesoma source za maana kumbe wikipedia
😀😀

Hakuna usafiri umekua wa haraka bila karaha kama BRT kwa dar na ukumbuke waliongeza bus nyingi sana na sasa wanaleta bus zinazotumia gas sio oil tena kuna city train in dar inayozunguka over 70 km sehemu tofaut tofaut na usichelewe kuna daladala zimejaa kama nzige dar na hazina idadi
Na zinazunguka 24 hrs katika ukubwa wa 1590 km sq mara tatu ya nairobi 😀😀😀😀

Na sasa modern electric train inajengwa itakwenda sambamba na train ya zamani yani ni hatarii

Kumbuka hii ni 2017
 
Back
Top Bottom