Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya tusaidieni kushangaa runway ya Jnia inashimo ndege kubwa haziruki wala kutua nimeona aibu mimi!
Poor serikali ya tz , shame shame shame!!!!
Jitahidi kufanya research kdg kwa vitu ambavyo huna utaalamu navyo kabla ya kukurupuka na comments tu
Screenshot_20221203-212018_1.jpg
Screenshot_20221203-212018_1.jpg
Screenshot_20221203-205426_1.jpg
 
Usimlaumu yawezekana kuna shida labda serikalini.
Si umesikia Jpm Bridge badala ya Feb 2024 Wametangaza itaisha mwishoni mwa 2024.
Nafikiri itafika 2025

Bwawa la NYERERE halijulikani linaisha lini.

Meli ilikuwa isukumwe majini mwezi Nov Tuko Dec sasa.
Miradi yote ya sgr haitaisha kwa wakati.

CAG akikagua anakuta tumelipa faini mabilioni kwa kuchelewesha malipo, lakini ziara za wanasiasa utasikia, "mkandarasi hatudai sisi ndio tunamdai kazi,

Sina mwana sheria
Mama anaupiga mwingi
Mkuu mim ni engineer, lkn ni mwanasheria pia🤣.. usiogope, tiririka tu..
 

Attachments

  • 1-images-47.jpg
    1-images-47.jpg
    54.4 KB · Views: 10
  • images-45.jpg
    images-45.jpg
    22.3 KB · Views: 7
  • images-47.jpg
    images-47.jpg
    75.9 KB · Views: 7
  • images-43.jpg
    images-43.jpg
    44.9 KB · Views: 10
  • images-44.jpg
    images-44.jpg
    66.6 KB · Views: 9
Blow Jobbing 50 times
Hivi why do someone travel back in time like 100years to start building a car with mabati from Scratch when we have thousands of modern era designs in existence ? Who advised this guy ?
IMG_9523.jpg


IMG_9522.jpg

IMG_9521.jpg
 
Wewe Umeona mwenye transfers nyingi ni nani? Mna users wengi mara 2 yetu yet the difference ni hivi 🤏
Acheni kufake population
Your understanding is very minimal. Account population doesn't mean the population of Kenya but instead it meant the total number of mobile money accounts in Kenya. Mimi Niko na 3 M-Pesa accounts. Most people have more than one mobile money accounts.
 
Back
Top Bottom