Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unapost stations tatu in comparison to our BRT ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ .. sina muda wa kupost stations utakimbia bure, by the way phase 1&2 pekee there are not less than 50 BRT stations, and guess what, abiria wa BRT hawasimami juani au kwenye mvua Ili kungoja kupanda. Halafu Busses za BRT zinakatiza kwenye barabara safii ๐Ÿ‘‡
 
Those 50 are viosks...,
Nairobi central station.., huwezi linganisha a bus system na train..,



 
A begger can not be a chooser ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ nyie ni omba omba tu wa huko duniani subirieni msaa wa chakula kutoka kwa mabwana zenu
Kama wanajipendekeza kwetu mbona wivu? nyie hamuna ushawishi wowote, kazi nikutafunwa tu.., inauma najua ila zoea ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Huyu jamaa amekulwa na shida kweli

 
Mkuu unapoteza muda wako kubishana na huyo kichaa, unawezaje kulinganisha train ya mkoloni ya mwaka 1890s na BRT ya 21st century, huyo ni taahira mkuu hata hivyo leo nimemtengua-tengua kila mahali so hayupo OK upstairs nimemvuruga ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Huyo jamaa ni mwehu tena kakomaa eti kama msenge ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Mnajenga cities on what economic base? Au mnagonjea loans za France waje wawajengee railway city? This is beyond pathetic. Only 9% of Kenyans are in permanent employment the rest ate hustlers cannot afford decent accommodation sasa sijui hizo nyumba na majengo yatakuwa occupied na nani. Kenyan real estate sasa hivi imeshuka sana baada ya experts wengi kuondoka.

Wekezeni kwenye vitu vya kulift majority of Kenyans out of abject poverty kwanza hayo ya cities yatakuja yenyewe tuu huko mbele.

Mfano inueni kilimo ili watu wasife na njaa maana mnapoteza nguvu kazi nyingi tuu kwa njaa.
 
Povu la nini sasa? Unaumia ukiwa slum ipi?
 
Unamwaga povu jingi sana vipi sindano imefika kwenye mfupa nini?
 
Nunua simu ya maana kilaza, eti "nishanidwa kuifungua.." nyambaff, get a phone [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shida sio phone, shida ni ninatumia app badala ya browser, pia ningeweza kutumia browser lkn nikafungua kwa PC sema hayo yote huwa naona uvivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ