Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

316814278_867363694419370_8147529246229553082_n.jpg

316418407_867363687752704_1462851055945730804_n.jpg

SGR mwanza mambo ni motooooooooooooooooo
 
Narudia hii ,
Kindly see how Dodoma residential areas look like ..
No city in Kunyastan comes close to Dodoma,
And imagine this is just a beginning

Halafu hata haturingi, haya mambo yangekua kunyaland mbona Africa ingekoma kuijua Kenya 😅😅😅

Kwa uchache kila nyumba hapo ni million 100 imelazwa hapo na watu wapo cool tu.
 
Unajua shida ya wakenya wengi hawana uelewa wao hufkiri tanzania ni ile ya 90s 🤣🤣 kumbe hawakujua nchi imejengwa kimya kimya sana tena kwa muda mfupi sana
 
Mkuu iyumbu hiyo naijua kama kwapa langu, miaka mi5 nyuma kote hapo palikua pori yalikua majengo ya UDOM tu ila saivi ni balaa, na kwa nyuma kidogo ndio huu unyama umepita, ni dual carriageway barabara yote juu kitu cha bullet 😅😅

Screenshot_20220329-214554.png
 
Mkuu iyumbu hiyo naijua kama kwapa langu, miaka mi5 nyuma kote hapo palikua pori yalikua majengo ya UDOM tu ila saivi ni balaa, na kwa nyuma kidogo ndio huu unyama umepita, ni dual carriageway barabara yote juu kitu cha bullet 😅😅

View attachment 2429630
Dodoma 5 yrs to come hakuna mji utakua wakisasa ukanda wote huu east africa na hioo wanalijua mbona 😆😆
 
Back
Top Bottom