Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

No of airport inaongea jambo,wanatuzidi idadi wa wageni ama wasafiri wanaotumia izo airport, Lakini kwa akili yako finyu huwezi kuelewa.

Sina haja ya kukueleza jambo lolote tena nna kazi za kufanya
Kama una kazi za kufanya unasubiri nini sasa humu si usubiri ukiwa huna kazi.
 
Pamoja na njaa south Africa hawajapokea chakula toka Ukraine,hii yenu,funika chungu mwanaharamu apite.
 
Asante kwa lisala [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
DRC here we come. More armoured vehicles arrived at Mombasa port yesterday.

 
Hiyo ni kama kusema engine zote za gari lazima ziwe mbele. Anyway, I'm talking to someone who things an elevated rail line is an expressway. Let me focus on people who have at least stepped in a classroom.🚮🚮🚮
 
Tell your friend an expressway is a road with controlled access. Currently we have 3 expressways in East Africa - Thika Road, Mombasa Road/Uhuru Highway/Waiyaki Way and Kampala - Entebbe Expressway. All the other highways do not have controlled access. Huyo ndugu yako Hana akili na hajasoma yet anapenda kupingana vitu haelewi.
 
Roads in Mombasa City.., they are exquisite.., 💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥
8 Lanes Road in Mombasa..,


Mombasa rocks in EAC.., mkeka wa ukweli..,




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…