Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usijali mkuu[emoji23]... all in all tukutane 2025.
Kuna watu saiz hawaelewi na hawataki kuelewa ila 2025 wataelewa tu.
Na hii sector ya umeme ambapo kuna 'obama wa bongo' ndo penyewe hasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaaa!
 
Mkuu kuwa brainwashed ni kitu kibaya sana. Yaani akili yako inashikiliwa na wajinga kwa ridhaa yako mwenyewe unafikiri ni rahisi kutoka huko kwenye hiyo hypnosis? Propaganda za amani na urulivu zimewapumbaza mpaka hawajitambui.
Hili suala la katiba mpya tuliangalie katika angles zote. Kuwa na katiba mpya kama kitabu ni tofauti na kuwa na katiba mpya yenye maandishi au kitabu kinachofanya kazi. Tatizo la Afrika hatujafikia kwenye ustaarabu wa kufuata sheria kama jinsi ilivyotungwa, bado watu hawajawa na utashi wa kuacha mifumo ijiongoze yenyewe.

Tukiwa na katiba mpya halafu ikafanya kazi sawa sawa mimi sina shida wala shaka hapo. Viongozi wetu kuna mahali hawafanyi sawa sawa na matakwa ya sheria, kanuni na miongozo ya katiba. Sasa katiba mpya itasaidiaje kama jamii nzima haitaki kubadilika?
 
US na Tanzania kwenye mifumo ya uongozi ni vitu viwili tofauti mkuu, walishaweka mambo vizuri miaka mingi sisi ndio tunaanza, tuondoe fikra za kizamani, ubinafsi, ulafi wa madaraka, kujuana, makundi yenye uchu wa kuongoza tutangulize uzalendo halafu tuwe kitu kimoja hapo tutaweza kuzitii sheria.na katiba itafanya kazi kwa kukidhi matakwa ya wananchi.
 
Uko correct, lakini ujue bado nuclear za northkorea zikipata nchi yeyote itakua mamillioni ya vifo including marekani yenyewe. Alafu huwezi nuke north korea bila hiyo nuclear fall-out kuaffect nchi kama southkorea, china na russia sababu nchi yenyewe ni ndogo sana na inakaribiana sana na hizi giants. Kwa hiyo ukinuke north korea, china + russia watakunuke back in retaliation na sidhani kuna jeshi kwa hii dunia itasurvive kua nucked na hizi nchi mbili
 
Ichukue hiyo jua kali type interchange zen iweke ulaya, itakaa nchi gn developed, peleka upumbavu wako mbali na mm mjinga wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi unajua quality ya mtz na mkenya ni tofauti sana. Sisi macho yetu yanaona tofauti na wao kwasababu siye tumezoeshwa vitu vizuri, angalia picha zao ni lazima waweke filters ila zetu zinatoka bila filter lakini very classic [emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956]
 
sisemi kitu bro🙏🏽 on point! hapo ndipo🔥
 
Huna lolote wivu tu umekujaa na chuki za kijinga una kinyongo na watu wa kanda ya ziwa utadhani walichonacho unaweza kukichukua. Acha upumbavu.
Naona leo umeamua kutema nyongo mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…