Watanzania tunapenda kubishana tu wakati hewa/chenga tupu
Mimi mbongo ila Tanzania hakuna kitu. Kuanzia kwenye siasa, uchumi, michezo ama kitu chochote.
Sisi porojo na pang'ang'a ndio jadi yetu ila action hakuna. Na ndio maana mnachagua viongozi kila siku maboya boya tu ambao akili hawana na maendeleo hawawaletei.
Yani sisi tulijilinganishe na Kenya hata kidogo ni sawa na kulinganisha kifo na usingizi.
Sehemu kidogo angalau inaweza kufananishwa na Kenya ni Arusha tu labda na Kilimanjaro. Ila sijui Dar??? Maisha ya kobe sahau kitu kama iko.
Huwa natamani sana watu wa Arusha tujitenge na rest of TZ. Au tuwe sehemu ya Kenya.
Bongo bahati mbaya
Futeni huu uzi huwa unanitia ukakasi nikiuona