Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

WqL6x.jpg
 
East africa ni kenya uganda tanzania rwanda burundi
sawa basi...zanzibar has best beaches...sikatai...ila thubutu tu kusema kenya's scond city vs tanzania's second city uone ukinyoroshwa JF upotee kabisa...yaani pengine mje kwa 4th city...lakini 1st 2nd 3rd zote ni za hapa Kenya...
 
Sio have best beaches hakuna sehemu kenya inaeza kaa sahani moja na zanzibar kwa beach hotels na haitatokea never
 
una kasoro wewe...Mombasa kunajengwa hoteli kwa kasi tena sana...its just a matter of time...
 
ni mwanza bro... ata usijusumbue kuifungulia thread na msa.ichoboy alijaribu nkamvuruga akatoweka mpaka leo.mwanza tallest building ni sixteen floors imagine
enyewe...nimeona hata ameanza kulenga story za head to head...anajua Mombasa itawanyorosha
 
17 fl so wewe unataka kuniambia tallest building kwa sasa msa ni ngapi usinitajie ambayo iko under cosntruction kwasababu mwanza 17 fl iko complete
Hebu nitajie hio ya msa niskie
 
enyewe...nimeona hata ameanza kulenga story za head to head...anajua Mombasa itawanyorosha
Mombasa haijikuni kwa zanzibar kwenye beach hotel hata kwa dawa za mganga😀😀😀😀

The only under water room hotel in Africa
Manta resort zanzibar tanzania
Hii iko tanzania sio dubai
IMG_0019.JPG
IMG_0020.JPG
IMG_0021.JPG
IMG_0022.JPG
IMG_0023.JPG
IMG_0024.JPG
IMG_0025.JPG
IMG_0026.JPG
IMG_0027.JPG
 
Back
Top Bottom