Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

22 floors...kizingo apartment.uliexpect uletewe shehena marina???shehena iko 24
2017-08-30_59a6de096131a_Laiji.jpg
Is that 22 😀😀 au kuhesabu hujui pia
 
wewe sio kwanza kuonyesha chuki ya kuichukia thread hii...wamekuja wenzio kama wewe zaidi ya 10 na malalamiko hayo hayo.

baada ya kupitia comment yako,ikabidi niende nikatembelee profile yako ili nijue aina ya thread ulizowahi kuzianzisha.

hii ndio aina ya thread zako.

1950124a1b40d6928bc3a79eae814e76.jpg
03fd4c48cc743d34eb06a132c2198510.jpg
472899dcb85b66af70a3b28b3a844076.jpg

ma- comrade wenzangu,mtu kama huyu ambaye thread zake tu zinaonyesha ni mwenye upeo wa aina gani,anapata wapi audacity ya kutaka thread hii ifutwe?.smh.
Hajielew huyo😀😀
 
Mtosheke msitosheke swala lisilo na ubishi ni: Wanawake wenu ni kama Wanaume na mnaoita warembo ni hovyo. Ni ji demu tu lilolo nene nene kama Vera sidika but shepu ya hovyo. Miguu fitoo, sura hovyo na rangi ni MPINGO.

Ni hali mbaya ya masha Kenya, mtu anakua kwa kula Ugali, sukuma na Kimbo rangi adimu atatoa wapi? mbili, mnaoana kwa makabila, rangi na uzuri mtatoa wapi?

Lisa Jensen - Tanzania
mubashara bila chenga.

FB_IMG_1448464915252.jpg

FB_IMG_1448464925273.jpg

FB_IMG_1448464922452.jpg

FB_IMG_1448464927849.jpg

FB_IMG_1448464919910.jpg

anagalia totoz hapa Lisa Jensen: Lisa Jensen is a Sexy Mama in new Photoshoot | M.P Blog
Kenya's Lupita Nyong'o was named most beautiful in the world.
Do you know how many Kenyans make it to miss world Kenya finalists every time??
 
There is this Tanzanian called sijui lulu diva with very ugly thighs. ..at one time she appeared in citizen tv's 10/10 show .zile kupondwa alipata....lol.
Tanzanians brag of beauty but Kenyan ladies have beauty and brains. ....that's why they can't miss in top 5 or top 10 of miss world. Wa Tanzania hupumulia huko number 180....juu mrembo anaulizwa how to solve a certain issue unabaki ukishangaa kama alimaliza shule......lanes......
 
Miss world top 5 wow
 
brains za ukabila na chuki labda😀😀😀😀😀😀😀😀
na urembo sio sura pekeake hata tabia pia
 
Hahaha dunia hiii ukistaajabu ya musa basi ya firaun utayaona😀😀😀😀😀😀😀😀
IMG_0066.JPG
 
Watanzania tunapenda kubishana tu wakati hewa/chenga tupu

Mimi mbongo ila Tanzania hakuna kitu. Kuanzia kwenye siasa, uchumi, michezo ama kitu chochote.

Sisi porojo na pang'ang'a ndio jadi yetu ila action hakuna. Na ndio maana mnachagua viongozi kila siku maboya boya tu ambao akili hawana na maendeleo hawawaletei.

Yani sisi tulijilinganishe na Kenya hata kidogo ni sawa na kulinganisha kifo na usingizi.

Sehemu kidogo angalau inaweza kufananishwa na Kenya ni Arusha tu labda na Kilimanjaro. Ila sijui Dar??? Maisha ya kobe sahau kitu kama iko.

Huwa natamani sana watu wa Arusha tujitenge na rest of TZ. Au tuwe sehemu ya Kenya.

Bongo bahati mbaya

Futeni huu uzi huwa unanitia ukakasi nikiuona
Jikadirie mwenyewe IQ yako, small minded useless idiot. Fyi, huu Uzi upo na over 4k replies
Wala hujui kwa nini Uzi huu ulianzishwa..
 
There is this Tanzanian called sijui lulu diva with very ugly thighs. ..at one time she appeared in citizen tv's 10/10 show .zile kupondwa alipata....lol.
Tanzanians brag of beauty but Kenyan ladies have beauty and brains. ....that's why they can't miss in top 5 or top 10 of miss world. Wa Tanzania hupumulia huko number 180....juu mrembo anaulizwa how to solve a certain issue unabaki ukishangaa kama alimaliza shule......lanes......
Braza nimezurula sana Nairobi, nimejaribu kutembea sana japo nione sura angavu na sikubahatika, mabinti wa Kenya hufanana sana na babu zao, mkuu sijui mnaishije hapo, karibuni bongo muoe Dada zetu huku walau mchanganye damu.
 
Lol. .....I expected the bile
 
Back
Top Bottom