Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,534
- 81,267
Hizo picha ni kama photoshop tu.. Ukifika in reality sehemu ni mbaya huwezi amini

aliyekushikia bunduki kichwani na akakulazimisha umwoe mkenya ni nani? 😀😀😀
heri wewe umesema ukweli wako...watanzania wengi hapa wana la kujifunzaWatanzania tunapenda kubishana tu wakati hewa/chenga tupu
Mimi mbongo ila Tanzania hakuna kitu. Kuanzia kwenye siasa, uchumi, michezo ama kitu chochote.
Sisi porojo na pang'ang'a ndio jadi yetu ila action hakuna. Na ndio maana mnachagua viongozi kila siku maboya boya tu ambao akili hawana na maendeleo hawawaletei.
Yani sisi tulijilinganishe na Kenya hata kidogo ni sawa na kulinganisha kifo na usingizi.
Sehemu kidogo angalau inaweza kufananishwa na Kenya ni Arusha tu labda na Kilimanjaro. Ila sijui Dar??? Maisha ya kobe sahau kitu kama iko.
Huwa natamani sana watu wa Arusha tujitenge na rest of TZ. Au tuwe sehemu ya Kenya.
Bongo bahati mbaya
Futeni huu uzi huwa unanitia ukakasi nikiuona
haya kamwoe sasa...tumetosheka na wetu sisi walio na sura ngumu...😀😀😀 tukitamani wa nje tutakimbilia Ethiopia...Mtosheke msitosheke swala lisilo na ubishi ni: Wanawake wenu ni kama Wanaume na mnaoita warembo ni hovyo. Ni ji demu tu lilolo nene nene kama Vera sidika but shepu ya hovyo. Miguu fitoo, sura hovyo na rangi ni MPINGO.
Ni hali mbaya ya masha Kenya, mtu anakua kwa kula Ugali, sukuma na Kimbo rangi adimu atatoa wapi? mbili, mnaoana kwa makabila, rangi na uzuri mtatoa wapi?
Lisa Jensen - Tanzania
mubashara bila chenga.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
anagalia totoz hapa Lisa Jensen: Lisa Jensen is a Sexy Mama in new Photoshoot | M.P Blog
Watanzania tunapenda kubishana tu wakati hewa/chenga tupu
Mimi mbongo ila Tanzania hakuna kitu. Kuanzia kwenye siasa, uchumi, michezo ama kitu chochote.
Sisi porojo na pang'ang'a ndio jadi yetu ila action hakuna. Na ndio maana mnachagua viongozi kila siku maboya boya tu ambao akili hawana na maendeleo hawawaletei.
Yani sisi tulijilinganishe na Kenya hata kidogo ni sawa na kulinganisha kifo na usingizi.
Sehemu kidogo angalau inaweza kufananishwa na Kenya ni Arusha tu labda na Kilimanjaro. Ila sijui Dar??? Maisha ya kobe sahau kitu kama iko.
Huwa natamani sana watu wa Arusha tujitenge na rest of TZ. Au tuwe sehemu ya Kenya.
Bongo bahati mbaya
Futeni huu uzi huwa unanitia ukakasi nikiuona
Hizo picha ni kama photoshop tu.. Ukifika in reality sehemu ni mbaya huwezi amini
Watanzania tunapenda kubishana tu wakati hewa/chenga tupu
Mimi mbongo ila Tanzania hakuna kitu. Kuanzia kwenye siasa, uchumi, michezo ama kitu chochote.
Sisi porojo na pang'ang'a ndio jadi yetu ila action hakuna. Na ndio maana mnachagua viongozi kila siku maboya boya tu ambao akili hawana na maendeleo hawawaletei.
Yani sisi tulijilinganishe na Kenya hata kidogo ni sawa na kulinganisha kifo na usingizi.
Sehemu kidogo angalau inaweza kufananishwa na Kenya ni Arusha tu labda na Kilimanjaro. Ila sijui Dar??? Maisha ya kobe sahau kitu kama iko.
Huwa natamani sana watu wa Arusha tujitenge na rest of TZ. Au tuwe sehemu ya Kenya.
Bongo bahati mbaya
Futeni huu uzi huwa unanitia ukakasi nikiuona
Hizo picha ni kama photoshop tu.. Ukifika in reality sehemu ni mbaya huwezi amini
wewe sio kwanza kuonyesha chuki ya kuichukia thread hii...wamekuja wenzio kama wewe zaidi ya 10 na malalamiko hayo hayo.Watanzania sisi porojo na pang'ang'a ndio jadi yetu ila action hakuna.
Futeni huu uzi huwa unanitia ukakasi nikiuona

Chaliifrancisco hii thread kama imekuboa sana meza wembeWatanzania tunapenda kubishana tu wakati hewa/chenga tupu
Mimi mbongo ila Tanzania hakuna kitu. Kuanzia kwenye siasa, uchumi, michezo ama kitu chochote.
Sisi porojo na pang'ang'a ndio jadi yetu ila action hakuna. Na ndio maana mnachagua viongozi kila siku maboya boya tu ambao akili hawana na maendeleo hawawaletei.
Yani sisi tulijilinganishe na Kenya hata kidogo ni sawa na kulinganisha kifo na usingizi.
Sehemu kidogo angalau inaweza kufananishwa na Kenya ni Arusha tu labda na Kilimanjaro. Ila sijui Dar??? Maisha ya kobe sahau kitu kama iko.
Huwa natamani sana watu wa Arusha tujitenge na rest of TZ. Au tuwe sehemu ya Kenya.
Bongo bahati mbaya
Futeni huu uzi huwa unanitia ukakasi nikiuona
wewe sio kwanza kuonyesha chuki ya kuichukia thread hii...wamekuja wenzio kama wewe zaidi ya 10 na malalamiko hayo hayo.
baada ya kupitia comment yako,ikabidi niende nikatembelee profile yako ili nijue aina ya thread ulizowahi kuzianzisha.
hii ndio aina ya thread zako.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
ma- comrade wenzangu,mtu kama huyu ambaye thread zake tu zinaonyesha ni mwenye upeo wa aina gani,anapata wapi audacity ya kutaka thread hii ifutwe?.smh.
![]()
![]()
![]()
![]()
Ukweli usemwe cc ichoboy kadodaWatanzania tunapenda kubishana tu wakati hewa/chenga tupu