Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

East Afrika kuna International Airpot zinazofahamika tano tu, Tanzania ziko 3 [emoji116][emoji116]

JNIA
JKIA
KIA
ENTEBE
ZANZIBAR full stop.

Na hapo sijaweka na Mwanza niliusahau kdg, kwahiyo Tz tuna recognized int'l airport 4 nyie na Uganda mnazo moja moja.
Acha bias nawe kwa hiyo songwe unauacha wapi?




 
but did u knw that Wilson ParaInternational Airport alone in Langata is busier than all those airports u've just mentioned combined! if u didn't knw, now u knw.

nb:
Wilson is the 3rd busiest airport in africa after OliverTambo and Cairo
Ila nyie mbwa huwa mnachekesha sn kwa kupenda kujipiga kifua kwa kitu hamna, ona huu uchafu [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20221112-120715.jpg
 
Imagine according to central bank of Kenya 2021 data GDP ya Kenya ni 12.09 trillion shillings sasa dola moja ni Kenyan Shillings 121.5 piga hesabu GDP yao ni ngapi kwa dollar? Wont take long for Tz to rule EA once again miradi ya kimkakati ikiisha.

The giant has awaken [emoji16][emoji16][emoji16]
Watz wenzangu wa JF sisi tuliosanuka tufanye kazi kwa bidii sana na tuishi ndoto zetu,kuna watu hawataki kabisa kujibiidisha na kujiongeza kwa lolote yani wameridhika na kula kulala...
Fursa ni nyingi sana kwa sasa...wala hatuna haja ya kuwaza wakenya kwa sasa...tujiimarishe sana yuko nyuma ya wakati
 
Back
Top Bottom