Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,683
- 107,124
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Anawatakia asubuh njema. Kazi iendelee [emoji1241]
View attachment 2414080
don't look at kenya's gdp in tht context..Nchi yenye GDP ya makaratasi inajinyea. [emoji16]
Wale wataalamu wa uchumi na mahesabu embu mtuambie GDP ikiwa 12.09 trillion Ksh kwa rate ya 121.5 per USD; GDP ya nchi itakuwa ngapi in dollar terms. Hizo figure ni according to Central Bank of Kenya FY 2021.
View attachment 2413683
🤣🤣🤣 nilijua imekuumaNdio mmepokea cruise ship ya kwanza mnapiga kelele. Kwanza ship enyewe ni ndogo kweli kweli.
Mbona hatuoni hio order hebu angalia mandhari yenyewe yalivo yamekaa kuunganisha bus kweli?🤣🤣🤣
Mabasi mengi aina ya marcopolo hua yanatoka south africa kubitia sub scania tanzania
Najua hutaamini 🤣🤣🤣🤣
Umia vzr basi 🤣🤣🤣Ndio mmepokea cruise ship ya kwanza mnapiga kelele. Kwanza ship enyewe ni ndogo kweli kweli.
Tuna viwanja vya ndege vingi mpk sio poa aisee, yani ukichukua jumla ya viwanja vya ndege vya nchi zote za EA bado havifikii idadi ya viwanja tulivyo navyo.
kando na KIA na JNIA.. ni gani ingine international airport munayo!? sababu hamna nyingine..Tuna viwanja vya ndege vingi mpk sio poa aisee, yani ukichukua jumla ya viwanja vya ndege vya nchi zote za EA bado havifikii idadi ya viwanja tulivyo navyo.
East Afrika kuna International Airpot zinazofahamika tano tu, Tanzania ziko 3 [emoji116][emoji116]kando na KIA na JNIA.. ni gani ingine international airport munayo!? sababu hamna nyingine..
international airports in kenya:-
jkia,
moi in mombasa,
kisumu,
eldoret,
isiolo,
malindi,
wajir,
lanet int'l airport in naxvegas is u/c
and what have u..
hapo JKIA, Eldoret na Moi ndo international vingine ni uchwara!kando na KIA na JNIA.. ni gani ingine international airport munayo!? sababu hamna nyingine..
international airports in kenya:-
jkia,
moi in mombasa,
kisumu,
eldoret,
isiolo,
malindi,
wajir,
lanet int'l airport in naxvegas is u/c
and what have u..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli mazee .JF unaeza kufa na watu wasijue.., I thought u was dead.. nice to see you too Toto la kimombasa [emoji39]
but did u knw that Wilson ParaInternational Airport alone in Langata is busier than all those airports u've just mentioned combined! if u didn't knw, now u knw.East Afrika kuna International Airpot zinazofahamika tano tu, Tanzania ziko 3 [emoji116][emoji116]
JNIA
JKIA
KIA
ENTEBE
ZANZIBAR full stop.
Na hapo sijaweka na Mwanza niliusahau kdg, kwahiyo Tz tuna recognized int'l airport 4 nyie na Uganda mnazo moja moja.
Naskia unalea now, pacha zako hazijambo?