Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

"you said education is the key, yet all doors are locked..."

thats according to these youths in the streets of dar-es-saalam, tanzania
youth-unemployment-768x498.jpg
 
Mpumbavu ni mama yako na baba yako. Kwanini nitengeneze persona ya kuwa Mkenya?

Hebu kaa chini na ujiulize kwanini nipoteze muda wangu kujifanya kuwa Mkenya? Kwasababu sikubaliani na views zako? Mbona kuna watanzania wengi wenye political views tofauti? What is it that makes you resent me so much? Because I live in America? 😂😂

Wewe sio Mtanzania, full stop.

Juzi nilikupa test ya kutupa mrejesho wa "Sizitaki Mbichi Hizi" "Kibanga Ampiga Mkoloni". Hakuna Mzaliwa Tanzania asiyejua haya ni walowezi na wahamiaji kama wewe.
 
Back
Top Bottom