The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Narudia tena, hakuna mtanzania anayevutiwa na nchi yoyote East and Central Africa sio tu Kenya, reasons ndiyo hizo hizo nilizosema, hali ya hewa, crime, pesa hakuna, starehe hakuna, magonjwa n.kWewe fukara haujui lolote, njoo uwachukue wenzako huku basi.., ask yourself mbona hawataki kukaa huko paradiso wanakimbilia jehanamu?.., taifa lenu ni hovyo.., taifa la mihogo na maharage vijijini monday to monday(zero balanced diet), hakuna hela, matokeo: multidimensional ufukara..., Kenya mkombozi wao, ata wakimbizi hawaendi Tanzania kwa wingi, ni Kenya, kulikoni? mko na matatizo flani nyinyi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuhusu ombaomba tulishasema ombaomba anayemiliki passport na anayeweza kujigalamia usafiri kutoka Tz kuja Kenya huyo sio ombaomba ni muwekezaji.
Kuhusu wakimbizi inafahamika, wakimbizi wengi walikuwa wanakimbilia Tz lkn baada ya nchi yenu kuona fursa ya misaada kutoka international organizations ikabidi muwavute kilazima ila sisi hatutaki wakimbizi nchi hii kwa sasa.