#africa | Jaouad Rahou | 80 comments
Very interesting to see the evolution of GDPs in Africa over the last 60 years... #africa Credit : Brilliant Stats | 80 comments on LinkedIn
MadiniTechnology for green energy iko very expensive. Wazungu wasitupangie kuhusu source ya energy yetu.
no Don YF, i was there; ask me..Kuingia Kenya for Ugandans and Rwandese they only need their national ID cards(no passports or temporary passes kama zamani) same for Kenyans going to those countries, free border movement which is an EAC protocol iko fully implemented in Kenya, Uganda and Rwanda, sijui about lazy and coward Tanzania..,
No wonder right now shamba boys (gardeners) in the villages going as far as Murang'a and Meru kutoka Uganda and Rwanda ni wengi sana, na pia house girls (maids) in towns ni Ugandan ladies wamemiminika., Tanzanians ni hawkers, boda boda riders in some areas na omba omba kwa wingi, nobody bothers them.., EAC protocol.
Jiandae kwa nakala ndefu za kiingereza😂😂😂who told u wind and solar r reliable sources? Do u know how many sq km of land in form of a solar farm are needed to produce 1 MW from solar power? Muache ujinga wa kutoona the industrious West wakihepa hizo forms!
U r like substituting say the 2100 MW * 3 hectares of potential agricultural land and yet no reliable source of taping the heat from the sun and storing that power before transmission to end users! Leta kiwanda kimoja cha steel au mgodi mmoja duniani kikiwa au ukiwa powered na solar energy!
![]()
Utility-scale solar farms: Landowner benefits
Landowners stand to benefit substantially by using their land for utility-scale solar farm developments The number of commercial-scale solarwww.solarchoice.net.au
Tena Kiingereza cha ugoko.😂Jiandae kwa nakala ndefu za kiingereza😂😂😂
Hio ndege ikiingia hapo with that speed tayari ilikua bad news si story na kuinuliwa, minimum speed illingia hapo nayo ni 200km/hr with all that gravel plus waterWataalam wa kutaka ndege ingenyanyuliwa na ndege/helicopter nyingine, nadhan mmepata kitu hapa
The ones you have mentioned above are all useless on a large scale. You can have a national grid based on wind and solar! And by the way they are not as environmentally friendly as the say. They are both also very very very unreliable!I’m very curious about the nation’s energy sourcing. Tanzania seems disinterested in wind or solar power. Why?
80% ya majengo Kenya ni dangerous (NCA report 2020)Magorofa ya Kenya sio ya kupanda.
Yanajengwa kizembe sana.
Hahahaha, you must be dreaming, whoever is searching Kenya for jobs must be as stupid as Kenyans themselves, Kenya ladies are killed like rates in Saudi Arabia because there are no jobs in Kenya, there are about × 3 Kenyans in Tanzania than Tanzanians in Kenya, that number goes up to ten times Kenyans in South Africa than South Africans in Kenya, still you want to boast your stupid country.no Don YF, i was there; ask me..
the police were either demanding for, Kenyan ID or Passport; or EA Visa if u were a visitor.
Free Movement Protocol has not been implemented yet, and don't think it shall be implemented, anytime soon!..
i happen to ask one ugandan, why they were coming to kenya. And he answered me that they are looking for greener pastures, and that kenya is the economic powerhouse in these region.. being the 2nd most sought after economy; north of limpopo, south of the sahara...![]()
The best source of electricity is water, only if you finish all sources of water for electricity generation, then is understandable to concentrate on other sourcesI’m very curious about the nation’s energy sourcing. Tanzania seems disinterested in wind or solar power. Why?
Hakuna mtanzania anayevutiwa kuja Kenya hata iweje, mazingira ya huko hayaruhusu, nchi kame, crime everywhere, magonjwa ya kila aina, hali ya hewa mbovu, pesa hakuna wala chakula hakuna, hakuna starehe zaidi ya kuwaza chakula 24/7, nyie Wakenya na watu wote East and Central Africa ndiyo mna dream kuishi Tanzania even you.Kuingia Kenya for Ugandans and Rwandese they only need their national ID cards(no passports or temporary passes kama zamani) same for Kenyans going to those countries, free border movement which is an EAC protocol iko fully implemented in Kenya, Uganda and Rwanda, sijui about lazy and coward Tanzania..,
No wonder right now shamba boys (gardeners) in the villages going as far as Murang'a and Meru kutoka Uganda and Rwanda ni wengi sana, na pia house girls (maids) in towns ni Ugandan ladies wamemiminika., Tanzanians ni hawkers, boda boda riders in some areas na omba omba kwa wingi, nobody bothers them.., EAC protocol.
Sasa anashauri rates zipunguzwe si ndiyo itaongeza inflation zaidi.
also tell me why unemployment rate in SA is about 30% (among the highest in africa),Hahahaha, you must be dreaming, whoever is searching Kenya for jobs must be as stupid as Kenyans themselves, Kenya ladies are killed like rates in Saudi Arabia because there are no jobs in Kenya, there are about × 3 Kenyans in Tanzania than Tanzanians in Kenya, that number goes up to ten times Kenyans in South Africa than South Africans in Kenya, still you want to boast your stupid country.
Kenya tops Africa on
1) Unemployment rate
2)Crime rate
3)Police brutality
Tell us, what would make Kenya attractive for job seekers if those three factors are not there?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
😂😂😂Sasa anashauri rates zipunguzwe si ndiyo itaongeza inflation zaidi.
wish tu ungalijua..🤔Hakuna mtanzania anayevutiwa kuja Kenya hata iweje, mazingira ya huko hayaruhusu, nchi kame, crime everywhere, magonjwa ya kila aina, hali ya hewa mbovu, pesa hakuna wala chakula hakuna, hakuna starehe zaidi ya kuwaza chakula 24/7, nyie Wakenya na watu wote East and Central Africa ndiyo mna dream kuishi Tanzania even you.
Wewe fukara haujui lolote, njoo uwachukue wenzako huku basi.., ask yourself mbona hawataki kukaa huko paradiso wanakimbilia jehanamu?.., taifa lenu ni hovyo.., taifa la mihogo na maharage vijijini monday to monday(zero balanced diet), hakuna hela, matokeo: multidimensional ufukara..., Kenya mkombozi wao, ata wakimbizi hawaendi Tanzania kwa wingi, ni Kenya, kulikoni? mko na matatizo flani nyinyi 😂 😂 😂 😂 😂Hakuna mtanzania anayevutiwa kuja Kenya hata iweje, mazingira ya huko hayaruhusu, nchi kame, crime everywhere, magonjwa ya kila aina, hali ya hewa mbovu, pesa hakuna wala chakula hakuna, hakuna starehe zaidi ya kuwaza chakula 24/7, nyie Wakenya na watu wote East and Central Africa ndiyo mna dream kuishi Tanzania even you.