The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,996
Kapicha tafadhali.Nimeingia Dodoma mchana wa leo, pamekuwa pasafi sana.
Machinga wametolewa wapo kwenye soko lao jipya la machinga.
Hongera SSH.
Naambiwa zoezi la kuwaondoa lilianza wiki hii.
Kapicha tafadhali.
The trickiest part about Tanzanian city statistics is that the numbers are simply agglomerations, without considering city limits, urban, or metropolitan area. They just tell you that Dar’s population is 5 million! Okay, what percentage of the population resides within the city limits? What about the urban area of Dar? And the metropolitan area? Kenya has done a great job. There’s a clear distinction and the numbers are highly reasonable when you look at how they’ve published their statistics.
I think your dump, follow the money before uongeeAngalieni akili za, wakunya
Hakuna manufacturing kabisa wala value addition projects kwenye akili zao, njaa haitakaa iwaache kwa akili hizi
Mabati rentals [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] slums in their brains
Uhuru park is bliss!!
Nyingine hii wameiga kama Kawaida, hawajawahi kuwa creative hawa ******* zaidi ya kuwa waigaji wa kila kitu.
Wangeongeza tu urefu wa huo mnara ili iwe ya kwanza Africa na dunian[emoji28]
What? 😂😂
Kawaida yao unapomkopi mtu basi fanya zaidi yake au at least kama yeye basiWakunya mna shida sana ,[emoji3][emoji3][emoji3]
So you tried so hard to copy the Supertree Grove of Singapore City,
Sasa yenyu iko Juakali sana, yours is made of iron sheets rejects from Ruiru Mabati rolling mills, looks ugly, rusty and unattractive.
Wacheni kukopi vitu vya watu kisha mnaharibu.
View attachment 2405893
View attachment 2405894
View attachment 2405895
View attachment 2405896
Nyinyi watanzania huwa wajinga sana, yani Kenya tukijenga kitu eti tumocopy. Ebu nieleze nini hapo Bongo mmejenga chenye hakijawai jengwa mahali kwengine? Hivi hamuoni Africa sote tunacopy tu vilivyo kwengine? Mbona mnakua wanafiki hivi?Wakunya mna shida sana ,[emoji3][emoji3][emoji3]
So you tried so hard to copy the Supertree Grove of Singapore City,
Sasa yenyu iko Juakali sana, yours is made of iron sheets rejects from Ruiru Mabati rolling mills, looks ugly, rusty and unattractive.
Wacheni kukopi vitu vya watu kisha mnaharibu.
View attachment 2405893
View attachment 2405894
View attachment 2405895
View attachment 2405896
Nasubiri kuona wakikopi Burj Khalifa kama hawajatoa kichuguu cha mchwa.Kawaida yao unapomkopi mtu basi fanya zaidi yake au at least kama yeye basi
Taifa la ******* hili.Nimecheka sana , halafu yao imechakaa hata haijaisha kujengwa [emoji3][emoji3][emoji3]
View attachment 2405898
Huyo mpumbavu huwa hatumjibu humu, ameigeuka nchi yake kisa kuambiwa ukweli. Ana mambo ya kike sn, mtoto wa kiume huwezi kuweka kinyongo milele.FACT!
Hakuna rais yeyote wa Kenya aliyewahi pewa heshima ya namna hii huko China na kwingineko.
Tangia Nyerere tunabuluza kidiplomasia.
Jamaa huwa wanachekesha sana, hawa kitu unique kila kitu wanakopy wakiamini watakuwa kama hao wanaowakopi mwishowe wanaishia kujichoresha tu.Nasubiri kuona wakikopi Burj Khalifa kama hawajatoa kichuguu cha mchwa.
Wacha upumbavu onesha kitu tulichokopi kama kilivyo, kuweni wabunifu wajinga nyie, mnakera sn. Yani unakopi kila kitu maana yake nini sasa.Nyinyi watanzania huwa wajinga sana, yani Kenya tukijenga kitu eti tumocopy. Ebu nieleze nini hapo Bongo mmejenga chenye hakijawai jengwa mahali kwengine? Hivi hamuoni Africa sote tunacopy tu vilivyo kwengine? Mbona mnakua wanafiki hivi?