kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 5,268
- 5,418
Wakenya wote mmejazana ka Nairobi cz ndio mji pekee ambao kdg unaeleweka huko kwenu. Sisi huku maendeleo kote kote thus y tumetawanyika.
Metropolitan covers the estates and surrounding areas, where they look towards Nairobi for business.Nairobi metropolitan ni CBD yenu, unataka kusema kile kieneo finyu vile kina watu idadi hiyo? Ndio maana mna slums kila angle
Ukiachana na njaa pia Kenya haifikiki haina miundombinu, inashangaza kuona mkitumia helicopters kufika kwenye counties ndani ya Kenya sababu hakuna barabara za kufika huko, Tanzania kubwa mara 2 yenu hakuna wilaya isiofikika kwa gari.
Therefore your leaders are stupid people than you, they know nothing about the problem of hunger in Kenya, because they are requesting international community to donate food instead of improving your logistic chain
🤣🤣🤣 Twende taratibu, wachana na mambo ya households, mimi huo nilishatoka kitambo, kwasasa nazungumzia majengo/ Nyumba ambapo namba za Tz ni hizi hapa 👇View attachment 2404194
infact the case is vice-versa...There are very few residential highrises in Tanzania. Mingi ni nyumba tu ovyo moja moja bila ghorofa.
Kenya is the opposite. Residential flats with tens of houses are the norm in all towns, big and small.
So, I expect our buildings count is lower.
Nakupa nafasi ya kukadiria, Kati ya majengo 14+ million, nyumba za makazi zinaweza kuwa ngapi.? Na majengo mengine kwa matumizi mengine yanaweza kufika mangapi.?Ndo najaribu kumwelezea huyo mwenzako kwamba takwimu anazopost za kenya ni za dwelling houses, alafu analinganisha na majengo yote Tanzania ambavyo haifai kulinganishwa!
Mbona huwa mnashindwa kuelewa vitu rahisi? Nairobi city limits are tiny, 696 sq. km. But the built up area of Nairobi metropolis is the largest in East Africa and only smaller than Gauteng in SA, Lagos in Nigeria, Kinshasa in DRC and Cairo in Egypt. Half of Nairobi City population live outside the City Proper boundaries. When they say people come from out of Nairobi to work in Nairobi they mean from within Nairobi Metro. Let me give you an example, a half of Runda Estate is outside Nairobi, the Crystal Rivers mall that someone posted is outside Nairobi boundaries but people who live in these areas consider themselves Nairobians. Understood?Niliambiwa sababu mojawapo ya kwann Nairobi inajaa sana watu asubuhi na foleni ni kali sana jioni ni kwamba watu wengi wanaenda kanairo kufanya kazi wanaishi mikoani...mtu anatoka nakuru anaenda Nairobi kubangaiza jioni anageuka...sasa maeneo mengi ya jirani wanategemea Nairobi
Unlike dar watu huenda kufuata biashara na kugeuka ,wanaobangaiza wanaishi palepale mjini
Vimiradi vya hivi vipo DODOMA hata kabla haijaanza kujengwa kama makao makuu ya nchi .. medeli 👇infact the case is vice-versa...
since tanganyika is a 'Communist State' its us the capitalists who we could be learning frm them (socialists) how to build Highrise Residential Flats, like the way russians and chinese do it, since they are all ujamaa states.
nb: building single units, eats space, hence a waste of time, space and money in doing inventory, access roads, waste management, sewerage, electrification, waterpiping, and wht have u
a concept like this in eldoret for instance, does better interms of resource utilization ×10fold👇🏽 View attachment 2404348View attachment 2404353View attachment 2404349
Wacha kujiongopea mzee.. the built up area in DAR ni hizo km2 zote 1600 .. inawezekana mnatuzid kwenye kuwa na apartments nzuri ila sio kwa eneo lilijengwa mzee, DAR yote imejengwa hadi kila kona ya mpaka wake na Pwani region.Mbona huwa mnashindwa kuelewa vitu rahisi? Nairobi city limits are tiny, 696 sq. km. But the built up area of Nairobi metropolis is the largest in East Africa and only smaller than Gauteng in SA, Lagos in Nigeria, Kinshasa in DRC and Cairo in Egypt. Half of Nairobi City population live outside the City Proper boundaries. When they say people come from out of Nairobi to work in Nairobi they mean from within Nairobi Metro. Let me give you an example, a half of Runda Estate is outside Nairobi, the Crystal Rivers mall that someone posted is outside Nairobi boundaries but people who live in these areas consider themselves Nairobians. Understood?
Runda
Crystal Rivers
Unaelewa maana ya communist state au umeamua tu kuropoka kama nyang’au?…since tanganyika is a 'Communist State' its us the capitalists…..
It's not, not even close. Trust me.Wacha kujiongopea mzee.. the built up area in DAR ni hizo km2 zote 1600 .. inawezekana mnatuzid kwenye kuwa na apartments nzuri ila sio kwa eneo lilijengwa mzee, DAR yote imejengwa hadi kila kona ya mpaka wake na Pwani region.
Njoo DAR ujionee mwenyewe, NAIROBI is very tinny mbele ya DAR likija suala la eneo lililojengwaIt's not, not even close. Trust me.
i concur. that's very true basing on this satellite image at night 2021.You wish.
Your second biggest city, Mwanza, would be number 5 or 6 in Kenya.
Ushawaifika Nairobi wewe?Njoo DAR ujionee mwenyewe, NAIROBI is very tinny mbele ya DAR likija suala la eneo lililojengwa
Yani watanzania hawaelewi kiswahili na ndio lugha wanaongea pekee? 😂😂😂😂 low IQ ni kitu kibaya sanaHome Owner inamaanisha nyumba ya kukaa na kulala, Jengo inamaanisha nyumba zote ukichanganya nyumba za biashara, viwanda, soko etc... Wewe uko na IQ gani
na ntazidi kurudia na kurudia hili satellite image, hadi ile siku kitaeleweka👈🏽Njoo DAR ujionee mwenyewe, NAIROBI is very tinny mbele ya DAR likija suala la eneo lililojengwa
Yani muishinde Dar kwa built up area kwa hivi vi estate mnavyokesha mkipost kila siku hivi hivi tangu 2017? Mnaumwa nyinyi.Mbona huwa mnashindwa kuelewa vitu rahisi? Nairobi city limits are tiny, 696 sq. km. But the built up area of Nairobi metropolis is the largest in East Africa and only smaller than Gauteng in SA, Lagos in Nigeria, Kinshasa in DRC and Cairo in Egypt. Half of Nairobi City population live outside the City Proper boundaries. When they say people come from out of Nairobi to work in Nairobi they mean from within Nairobi Metro. Let me give you an example, a half of Runda Estate is outside Nairobi, the Crystal Rivers mall that someone posted is outside Nairobi boundaries but people who live in these areas consider themselves Nairobians. Understood?
Runda
Crystal Rivers