Kijana mdogo, Kasome maana ya PPP project alafu ndo urudiWe jamaa unaongea upumbavu Gani.? Kwanza kuna jengo nyie kenyans mmejenga huku Tz.? Kuna kampuni ya ujenzi uko kwenu yenye inauwezo wa kujenga hizo facilities.? 🤣🤣🤣
Tunasema express way ni mali ya mchina bcoz it's true that ni mchina ndie aliejenga and ndie anae control huo mradi, no Kenyan anaeza pita hapo bila kulipa, na atamiliki huo mchongo in 30 good years.
SGR yenu alkadhalika ni Chinese owned and controlled project ..
Sio mali zenu.. 🤣🤣🤣
Sijasema ni Kenyan company. What I have said is that without Kenya the company could have not been available today. We incubated it then when it saw it could not sustain the competition in Kenya it moved to less civilized Tanzania to save it's image 😂😂Sasa kama mmiliki wa kampuni ni muhindi na ameamua ku shift capital to Tz hata na HQ amajenga huku, utasemeje ni kenyan company.? 🤣🤣🤣 Ar crazy.? 🤣🤣Au wahindi sikuhiz ni wakenya.?
Wewe tena.? 🤣🤣🤣 Ubaya ni kwamba kampuni bado iko na ofisini zake Nairobi na maeneo mengine na ndio kampuni inayofanya vizur zaidy EA and Central Africa, isn't it.?Sijasema ni Kenyan company. What I have said is that without Kenya the company could have not been available today. We incubated it then when it saw it could not sustain the competition in Kenya it moved to less civilized Tanzania to save it's image 😂😂
Hana akili ya kuelewa hiyo.Kijana mdogo, Kasome maana ya PPP project alafu ndo urudi
PPP ni aina ya loan... Tofauti ni kwamba Loan inalipwa na kodi inayokusanywa na serekali kutoka kwa wananchi, lakini katika PPP, watumizi wa expressway pekee ndo wanalipa loan directly kwa kampuni iliojenga expressway, Yani badala ya nchi nzima hadi mkaazi wa Mombasa kulipia ujenzi wa expressway ambayo hatawai itumia, ni watumizi wa expressway pekee ndo watalipia loan iliotumika kujenga expressway...
Lakini katika PPP project, mmiliki wa hio barabara ni uma, sio hio kampuni, na hata pia sio lazima aliejenga barabara ndo achukue hela kutoka kwa watumizi wa barabara.... bora tu mkusanyo wa siku uende kwa kitita cha kulipa ile loan.
Faida ya PPP ni kwamba risk zote za kuwekeza zinachukuliwa na mwekezaji, alafu serekali haitumii hela, ni wananchi ndo wanalipa loan directly kila wanapotumia barabara, kwahivyo kwa kifupi, project ya PPP na project inayojengwa na loan, hakuna tofauti, zote zinatumia hela kutoka nje ambazo lazima zilipwe
Which project have they done in Kenya? Hata contract ya kujenga vyoo hawawezi pata.Wewe tena.? 🤣🤣🤣 Ubaya ni kwamba kampuni bado iko na ofisini zake Nairobi na maeneo mengine na ndio kampuni inayofanya vizur zaidy EA and Central Africa, isn't it.?
Wewe unapost moja moja unahangika 🤣🤣🤣 Hizi kampuni zipo 500+ na zimeweka less than $1. Billion .. 🤣🤣🤣
HApo najua tu nimepoteza mda manake hawataelewa kituHana akili ya kuelewa hiyo.
Unawezataja kampuni yoyote EA ambayo ni competitive na estim.? 🤣🤣Which project have they done in Kenya? Hata contract ya kujenga vyoo hawawezi pata.
EPCO is the biggest construction company in East Africa with an annual turnover of over $50M. I'm sure Estim hata haifiki $10M😂😂😂Unawezataja kampuni yoyote EA ambayo ni competitive na estim.? 🤣🤣
Hawa watanzania ukitaka kubishana nao bila facts utakufa bure cause they are specialist in empty words and rumors. Lakini Ulianza kuwachapa na facts utaona wakianza matusi😂😂😂HApo najua tu nimepoteza mda manake hawataelewa kitu
Aliposema kagonga demu wa 6000 nika imagine jamaa atakuwa mchafu sana, yawezekana hata akawa ana smell.Haya maisha haya ni hatari...
Elfu 6 mtu anatamba kachapa mali safi....
Kuna mirax chafu chafu tu local wanamiliki magari wanauza na kupigwa ndani ya magari yao kwa 20k za kibongo...
Akitaka mali classy ataweza ku afford kweli?
Here.! 🤣🤣🤣 Hatari na nusu Hiyo Link umenifungua lakini me nimepost miradi michache sana hapoSasa hizi ni vitu za kubrag about?🤣🤣😂
There's nothing worth noting in the link.Here.! 🤣🤣🤣 Hatari na nusu Hiyo Link umenifungua lakini me nimepost miradi michache sana hapo
We jamaa utakuwa ni mchafu sana aiseee, demu wa 6000?Na bado niliacha malaya wengi wenye asili ya kitanzania hapo
🤣🤣🤣 We jamaa hatari .. nakupiga na picha sasa za miradi yote iliyoaishwa kwenye picha yenye imefanywa na estim 👇There's nothing worth noting in the link.
Bado kupo wazi sn, miti ndiyo mingi majengo hamna kabisa, jengeni aisee wacheni utani, huu ni upumbavu mtupu.88 Nairobi - Upper Hill 44 fl residential tower
Unit distribution per floor shall be as follows:
Floors 5 - 6: Duplex 2 and 3 Bedrooms
Floors 7-28: Executive fully furnished 2 bed, 1 bed and studios
Floors 31 – 38: Unfurnished VIP 2 bed, 1 bed and studios
Floors 39 – 40: Duplex Penthouses
Almost topping out on the left of the pic
Leo nmefuatilia bank 20 zenye mitaji mikubwa Africa kumbe hata KCB sio Bank ni microfinance [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji119]Hizi ni nyumba za nani?
View attachment 2402312