dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
sijui ni mpaka lini hawa watu watajakubali kenya ni king wa eastern and central africa, ethiopia included
Kajipachika kidole..kuna muda kila nikumbuka lab coat lake na vile viatu sijiskii hata kubishana nae














Are you proud of dat?Why shouldn't we not brag yet your Parliament was designed by Kenyans? Kenyans know all the security details of your Parliament. The positions of the security cameras is your Parliament. Hata speaker wenu akienda choo wakenya wanajua anakaa akiangalia upande gani.
View attachment 2401569



Wakati mathare Wanakaa juu ya kinyesi? Mungu aonekane juu ya nchi yenu foolsNilipoona madirisha yako hivi nikaacha kabisa comparison
- SGR Tanzania kuna TV with 2 screens front and back, kwenye garimoshi ya Kunyaland hamna TV!
- SGR Tanzania kuna armrest SGR Kunyaland hamna!
- SGR Tanzania pia kila seat ina kameza cha kula kwa nyuma ukiacha meza katikati kwa seats zinazoangaliana na pia bottle hanger wakati SGR Kunyaland ina meza katikati tu!
- Madirisha ya coaches za SGR Tanzania yako wide, sealed (meaning ndani full kiyoyozi) na yana modern drop down window shades, SGR Kunyaland kuna pazia la kitambaa!
- SGR Tanzania ina first aid and safety kits enclosed in a shattered glass Kunyaland linyundo la safety kit linaning'inia wakati first aid kit haionekani!
- SGR Tanzania ina automatic sliding transparent glass doors with sensors at both ends of the coaches wakati SGR Kunyaland ina manual metal door with glass window!
![]()
![]()
vs
![]()
![]()
MY TAKE
Wakunya wacheni kujidanganya! As far as amenities and comfortability are concerned, SGR Tanzania coaches beat by far SGR Kunyaland coaches!








Congratulate Kenyans for giving you this beautiful building.Are you proud of dat?Wakati mathare Wanakaa juu ya kinyesi? Mungu aonekane juu ya nchi yenu fools
Kichaa huyo, achana naye, nchi lao limewashinda wanataka kudandia mafanikio ya nchi zingineKwahiyo unataka kusema hii Kibo seed ni ya wakenya au.?![]()
Kajipachika kidole..kuna muda kila nikumbuka lab coat lake na vile viatu sijiskii hata kubishana nae



Keep quiet juu Kenyans control your economy.Kichaa huyo, achana naye, nchi lao limewashinda wanataka kudandia mafanikio ya nchi zingine
Nchi lenu limewashinda ni madeni, njaa, crime, corruption na ukabila kila siku
70% kenyan 30% governmentTenelec ni Kenyan company.?![]()
Anapiga kelele hapa wakati kwao mchina anamiliki reli, barabara na CBDNikukate Ngebe...hata USA na nchi zingine zilizoendelea ni kwasababu ya wawekezaji kutoka mataifa mengine pia
.
Ongezeni izo kampuni zenu Tz,hata tutapata ajira,serikali itakusanya kodi,na mtatoa huduma kwa Wazawa...Iwe kampuni yenu ama laa Sioni tatizo lolote
Anapiga kelele hapa wakati kwao mchina anamiliki reli, barabara na CBD








Anapiga kelele hapa wakati kwao mchina anamiliki reli, barabara na CBD

overlooking kinondoni na Mwananyamala.Hizo ni behewa za kawaida za trains za kawaida tena daraja la tatu. Bado EMU zinatengenezwa na siku mkiziona mtakimbia hamtaonekana humu. Train na behewa zetu zinatengenezwa katika nchi tatu tofauti, Germany, China na South Korea. Tunataka kuwa-supraise na vitu vizito. tumewaonyesha tu hzo normal behewa za daraja la tatu.I never thought ingefika wakati wanajaribu justify the ugliness of their SGR trains using Kenyan trains that they have been abusing since 2017😂