Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jifunze kufanya

I really doubt your education level. Yani unascreenshot kitu hata hujasoma😂😂😂, ndio hii hapa nimecrop the important part of your screenshot.

View attachment 2401468
Unawajua walianzisha Tenelec ? Ni kenyans .? 🤣🤣🤣 Nyie kupewa share does that mean hiyo kampuni ni ya mkenya.?
 
Unawajua walianzisha Tenelec ? Ni kenyans .? 🤣🤣🤣 Nyie kupewa share does that mean hiyo kampuni ni ya mkenya.?
You don't know anything about business. The person with the most shares( 50%+) is usually the owner of the company. In this case the owner of Tanelec is Transcentury which have 70% shares of Tanelec. In short, Kenyans own Tanelec.
 
Transcentury ipo bankrupt!
Really?😂😂😂

Screenshot_20221029-203848_1.jpg
 
  1. SGR Tanzania kuna TV with 2 screens front and back, kwenye garimoshi ya Kunyaland hamna TV!
  2. SGR Tanzania kuna armrest SGR Kunyaland hamna!
  3. SGR Tanzania pia kila seat ina kameza cha kula kwa nyuma ukiacha meza katikati kwa seats zinazoangaliana na pia bottle hanger wakati SGR Kunyaland ina meza katikati tu!
  4. Madirisha ya coaches za SGR Tanzania yako wide, sealed (meaning ndani full kiyoyozi) na yana modern drop down window shades, SGR Kunyaland kuna pazia la kitambaa!
  5. SGR Tanzania ina first aid and safety kits enclosed in a shattered glass Kunyaland linyundo la safety kit linaning'inia wakati first aid kit haionekani!
  6. SGR Tanzania ina automatic sliding transparent glass doors with sensors at both ends of the coaches wakati SGR Kunyaland ina manual metal door with glass window!

Ff7GZ7FWQAEyDlq

Ff7QFxSX0AEUudH

vs

Esy7ZkvWMAIYkwC

E_ASmmFWEAISTlC

MY TAKE
Wakunya wacheni kujidanganya! As far as amenities and comfortability are concerned, SGR Tanzania coaches beat by far SGR Kunyaland coaches!
Your coaches are not what you were expecting, kubali yaishe
 
Hii nchi tumeshika makende yake. Another company in Tanzania owned by Kenyans.

View attachment 2401543
Hivi unajisikiaje kuona magorofa mliojenga yanaporomoka? Mnajisikiaje kuona karibu nusu ya nchi yenu iko na njaa na wananchi wanakufa? Unasikiaje nchi yako kuwa miongoni mwa nchi zinazoongoza kwa corruption....

Naona wazungu wameanza kuwatafutia sababu kwenye michezo hasa ya mbio mnazokimbia.... Soon watawablock kama walivyofanya FIFA .....

Jisikiie huzuni na aibu .... Acheni kujifariji na kujiona mnajua kila kitu hapa East Africa , kumbe your coward, useless , brainless

Mnakuja kujichekesha chekesha humu kama barmaids
 
I doubt kama ulikanyaga hata shule wewe. Do you know how to do a research?

View attachment 2401452
Nikukate Ngebe...hata USA na nchi zingine zilizoendelea ni kwasababu ya wawekezaji kutoka mataifa mengine pia
.
Ongezeni izo kampuni zenu Tz,hata tutapata ajira,serikali itakusanya kodi,na mtatoa huduma kwa Wazawa...Iwe kampuni yenu ama laa Sioni tatizo lolote
 
Hivi unajisikiaje kuona magorofa mliojenga yanaporomoka? Mnajisikiaje kuona karibu nusu ya nchi yenu iko na njaa na wananchi wanakufa? Unasikiaje nchi yako kuwa miongoni mwa nchi zinazoongoza kwa corruption....

Naona wazungu wameanza kuwatafutia sababu kwenye michezo hasa ya mbio mnazokimbia.... Soon watawablock kama walivyofanya FIFA .....

Jisikiie huzuni na aibu .... Acheni kujifariji na kujiona mnajua kila kitu hapa East Africa , kumbe your coward, useless , brainless

Mnakuja kujichekesha chekesha humu kama barmaids
Why shouldn't we not brag yet your Parliament was designed by Kenyans? Kenyans know all the security details of your Parliament. The positions of the security cameras is your Parliament. Hata speaker wenu akienda choo wakenya wanajua anakaa akiangalia upande gani.

1649326409199.jpg
 
Nikukate Ngebe...hata USA na nchi zingine zilizoendelea ni kwasababu ya wawekezaji kutoka mataifa mengine pia
.
Ongezeni izo kampuni zenu Tz,hata tutapata ajira,serikali itakusanya kodi,na mtatoa huduma kwa Wazawa...Iwe kampuni yenu ama laa Sioni tatizo lolote
Wewe reasoning Yako inakuanga mature sana. You need to lecture the likes of Sama boy 255.
 
Back
Top Bottom