Kalilie kwa choo na wewe pia.., so SA na Nigeria kwa kupewa msaada sio African giants? Kenya ni giant ha[pa EAC upende usipende, understand the context π π π π π π π π πGiant?mnaugiant gani watu wa kusaidiwa ninyi?Acha ujinga
Kazi nzuri hiiPorojo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..,
Redhill.. [emoji116] [emoji116] , tuko mbele yenyu miaka 25 mbele, hilo mtakubali mpende msipende..., [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2399331
View attachment 2399328
View attachment 2399329
View attachment 2399330
Sinishida zenu mnaziendekeza mtawakwepaje?Ila siwapendi wamerekani kabisaa..,
Kweli kabisa aiseee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anasahau SA is the most unequal country on earth,kule kuna watu wanamaisha duni sana,Wanahitaji huruma za USA kusurvive ,
Uko Nigeria nako hakuna lolote nchi yao watu wenye hali duni ni wengi sana,hizi takwimu za gdp haziwagusi wengi kule nao wanahitaji Kuhurumiwa...
Sa uyo kibwengo anadhani ni sifa nzuri kusaidiwasaidiwa ,Watakuja kuolewa hawa
Apa nakuona unajaribu kutengeneza hoja nzuriSisi waafrika tungali na akili timamu tunatakiwa tushirikiane na China sana kwa maendeleo ya watu wetu wasasa na vizazi vijavyo, china sio mchoyo wa kutoa tekinolojia yake, ila tusiiwaache kabisa US mana kwasasa ni adui mkubwa wa dunia, ukimuuacha tu anakutengenezea zengwe upotelee mbali, kesi za ushenzi huo ni nyingi sana hapa AFrica, Libya, Zimbabwe, Somali n.k yote haya ni mataifa mazuri yaliyosambaratishwa na ushenzi wa marekani..
China for our future (miradi yenye tija)
US kwaajili ya kujihami tu,
Hawa ni watu wabaya hawataki kabisa kuskia tunajitegemea
Rehill baada ya miaka minne..,Aisee nyie jamaa hovyo sn, hizi infrastructure zenu cjui kwnn ziko hivi, maudongo udongo, no wonder zinachoka mapema, miaka miwili baada ya uzinduzi yanakuwa hovyo kama toilet aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sisi ni wajanja.., watch.Sinishida zenu mnaziendekeza mtawakwepaje?
Nmewadicredit mno...Egypt ndio real giant na anasonga kwa kasi ya lightKalilie kwa choo na wewe pia.., so SA na Nigeria kwa kupewa msaada sio African giants? Kenya ni giant ha[pa EAC upende usipende, understand the context [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
I beg to differ, do u know their issues kweli? ama unaona wanajenga a new city ukadhani wamefika? project zenye Nigeria wanazo, tokea refinery ya Dangote na mengine, Egypt watangoja sana GDP wise.., Nigeria needs good leadership ndio raiya wake wabenefit, nimewachunguza sana na industries zao, they are a real force.., SA economically hawatawafikia Nigeria hivi karibuni.., Nigeria is a real Giant.., with poor leadership! thus an oxymoron, ila they are undisputed economically in Africa.Nmewadicredit mno...Egypt ndio real giant na anasonga kwa kasi ya light
Hapa Africa kuna nchi zenye naheshimu ikija standards of living kama umezitembelea utanielewa..,, Mauritius na Seychelles.., sio Egypt ama SA.., even though they are giants..,Anasahau SA is the most unequal country on earth,kule kuna watu wanamaisha duni sana,Wanahitaji huruma za USA kusurvive ,
Uko Nigeria nako hakuna lolote nchi yao watu wenye hali duni ni wengi sana,hizi takwimu za gdp haziwagusi wengi kule nao wanahitaji Kuhurumiwa...
Sa uyo kibwengo anadhani ni sifa nzuri kusaidiwasaidiwa ,Watakuja kuolewa hawa
Sisi ni wakali wa hizi kazi
Hawa jamaa wako vizuri sana kwenye usafi, kupanga na kupendezesha miji yao, Afrika sijajua tunafeli wapi, sijui tumerogwa na nani.? Au ndio elimu hatuna, kwahyo hatujastaarabika kwa wingi wetu?Hawa jamaa wamenyoosha sana kazi..kazi ya maana, nilidhani Chicago kumbe Chengdu
Iyo New city imeattract foreign investors wengi sana pale,And minds you wanapiga miradi mingi mikubwa at once...I beg to differ, do u know their issues kweli? ama unaona wanajenga a new city ukadhani wamefika? project zenye Nigeria wanazo, tokea refinery ya Dangote na mengine, Egypt watangoja sana GDP wise.., Nigeria needs good leadership ndio raiya wake wabenefit, nimewachunguza sana na industries zao, they are a real force.., SA economically hawatawafikia Nigeria hivi karibuni.., Nigeria is a real Giant.., with poor leadership! thus an oxymoron, ila they are undisputed economically in Africa.
Kuna msemo kua masikini hajui ustaarabu...Hawa jamaa wako vizuri sana kwenye usafi, kupanga na kupendezesha miji yao, Afrika sijajua tunafeli wapi, sijui tumerogwa na nani.? Au ndio elimu hatuna, kwahyo hatujastaarabika kwa wingi wetu?
Yaah kwenye madaraja tumekomaa nayo sio poaSisi ni wakali wa hizi kazi
Yes niliwahi kupitia miradi yao hawa watu, wako na miji mingi tu wanajenga simultaneously.. they ar slowly becoming one of the most powerful countries on earth.. kwa maoni yangu Egypt ni balaa neither SA nor Nigeria inaweza shinda EgyptIyo New city imeattract foreign investors wengi sana pale,And minds you wanapiga miradi mingi mikubwa at once...
Dangote refinery ni kazi nzuri kubwa haina ubishi ila haitaweza cover FDI zinazomiminika Cairo kwa sasa
Sheikh Zayed city Egypt
View attachment 2399363
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]This bridge was built in 2007. That year hata hamkuwa na dual carriageway road in Tanzania.
View attachment 2398780View attachment 2398781
Mpe wami bridge iliyozinduliwa 1959,Sasa hapa najaribu kujiuliza zinapita baiskeli au watu ila ni cable stayed bridge according to Challie Chaplin a.k.a mnuka mavi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2398788
Nilianza kufuatilia wanazidi nn SA ndio nikagundua kwa ground kuna mambo ya balaa sana yanafanyika...Hao wanakazana sahivi watoke kwenye LMIC waingie UMIC kama SA kwa speed ya lightYes niliwahi kupitia miradi yao hawa watu, wako na miji mingi tu wanajenga simultaneously.. they ar slowly becoming one of the most powerful countries on earth.. kwa maoni yangu Egypt ni balaa neither SA nor Nigeria inaweza shinda Egypt