KENPAULITE
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,511
- 3,313
Hio ndio jiji men
🤣🤣😂🤣 Hii story ya behewa kuwa kwa meli tumeanza kusikia October last year. Kwani nyinyi hamchoki kungoja?🤣🤣Behewa za ghorofa ziko kwenye meli ndio za kwanza kuwa delivered in November
Nashangaa mnavyojibizana na mbwa ilihali time ndio majibu sahihi, wacha wajifurahishe November ni kesho kutwa tuBehewa za ghorofa ziko kwenye meli ndio za kwanza kuwa delivered in November
Shule tu? What are the other things?Obama contributed cash that was used to Build a secondary school in his home village.
There's is so many things Obama did to Kenya.
View attachment 2398185
Kwani hamjui izo train ziliagizwa nchi kadhaa tofauti?iso ni daraja la tatu kwanza sijui daraja la tatu manake nnAla kumbe bullet trains hukaa hivi [emoji1787]
Ntapambana nifike hapo walau 2nights kwakwel huu utamu hauwezi kuliwa na wageni tuZnz is heaven [emoji95]
View attachment 2398323
View attachment 2398324View attachment 2398325
Another one [emoji116]View attachment 2398326View attachment 2398327another one [emoji116]View attachment 2398328
Sometimes wawache kujifanya wako na hela na kumbe hawana..Mungu anaeza pitia hio nchi akadhani amewasort kumbe bado..Kama hawana wakubali tu hawana mungu awasaidie..To make it worse waga wanawacheka watu wa turkana wakiteseka..Now God is purnishing them...SGR sai wameletewa Mitungi za 1960...More to come..
Sheesh, tuko hapa kupigizana kelele na mataifa hayana dira, 🤣🤣 muda ni majibu ya hawa kondoo
Kweli time is a Teacher😃burret train uko wapi???🇹🇿hoyeeeeh hapa kazi tuu!!Sheesh, tuko hapa kupigizana kelele na mataifa hayana dira, 🤣🤣 muda ni majibu ya hawa kondoo
Kaa kwa kutulia unaishi kwenye taifa lisilo na dira. Time Will tellKweli time is a Teacher😃burret train uko wapi???🇹🇿hoyeeeeh hapa kazi tuu!!
wacha ningoje tuu😆but at the way things are going itakuwa show🐌🐌😂😂😂😂😂Kaa kwa kutulia unaishi kwenye taifa lisilo na dira. Time Will tell
Hiki ni kiswahili gani hawa ndugu zako wanaongea?Kweli time is a Teacher😃burret train uko wapi???🇹🇿hoyeeeeh hapa kazi tuu!!
sasa kwani nyie danganyikans munaongeaga kiswahili tuu🤕ebu kwani hujui anaweza kuwa mtu hajui kuongea fluent lugha zengine lakini humshindi lugha ya kwao😃WWE koroga maswahili tu mswahiliHiki ni kiswahili gani hawa ndugu zako wanaongea?
Halafu hili ndio kabila tajiri Africa 😂😂😂😂😂
Hapa watajenga flyover nyingine katikat au BRT itapita chin kama kawaida?