Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_2584.jpg
 
Isijifanye kondoo[emoji23][emoji23]

Acha niende apa chini nicheke huu mtungi wa stima
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pia waulize hawa giants wa Africa GDP iko wapi?..., haujui relation ya GDP na economic challenges ya nchi husika, Tz yenye double digit GDP hamuna lolote wala haujui lolote fukara [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

wacha nizungumze na mataifa yenye triple digits GDP niwaulize swali lako kuhusu GDP kilaza..,
"Egypt kuna mkwara flani anajiita joto la jiwe anauliza GDP yenu iko wapi kwa hizi challenges zenu?"
View attachment 2397529
View attachment 2397530
View attachment 2397531
View attachment 2397532

Tuelekee South Africa, another tripple digits economy.., another giant in Africa..,
"SA where is your triple digits GDP?" (courtesy Kilaza ajulikanae kama joto la jiwe )
View attachment 2397536
View attachment 2397535
View attachment 2397534


Nigeria, Morocco na Ethiopia sitaji challenges zao licha ya kukua na triple digits GDP, matatizo yao ni mengi mno..,

So kilaza joto la jiwe , ukubwa ama udogo wa GDP sio suluhisho kwa matatizo ya nchi ila ni utenda kazi wa viongozi husika na uwajibikaji wa raiya kujikimu kimaisha., sio uzembe na ushamba kama mlio nayo wengi wenu, mpo mpo tu, ndio maana mmebakia taifa lenye watu wengi fukara wa kutupwa zaidi ije upande wa SADC ama hapa EAC licha ya rasilmali na udongo wenye rotuba.., bado GDP yenu ni double digits na taifa ni kubwa na watu pia ni wengi!!! janga hili!
Onyesha wapi kati ya hizo nchi watu wanakufa kwa njaa. Faida ya GDP ni kusaidia pale matatizo yanapotokea ili wananchi wasipate athari kubwa, hizo nchi zote hutumia GDP zao kuhakikisha kwamba hakuna raia anayekufa kwa njaa, ni Kenya pekee ndio watu hufa kwa njaa kila mwaka[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Onyesha wapi kati ya hizo nchi watu wanakufa kwa njaa. Faida ya GDP ni kusaidia pale matatizo yanapotokea ili wananchi wasipate athari kubwa, hizo nchi zote hutumia GDP zao kuhakikisha kwamba hakuna raia anayekufa kwa njaa, ni Kenya pekee ndio watu hufa kwa njaa kila mwaka[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilijua utampa vipande vyake thus y nikamuwacha na upumbavu wake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom