Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🀣🀣🀣🀣 Pitia hiyo video ya kilimani ujionee 🀣🀣🀣. Upanga ni bora mara mia kuliko huo uchafu eti kilimani
Dar is slum nenda ukawahadithie wa Malawi ama watu wenu kule vijijini bana, sio sisi.., Kilimani estate in it's category haina mpinzani Dar is slum.., wacha kujikosesha ufahamu kimaksudi ilimradi tu, yaani hautulii bado una argue tu, umenyooka moyoni, moto imewaka na inachoma penyeweπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mo Dewji kuwa mtanzania mwenye asili ya uhindi na kuwa the only dollar billionaire in the whole EA is where you kunyans draw the line?
Mo Dewji is a politician, a CCM member, huyo ni mwizi wa pesa ya umma through CCM huko Singida, anafanyia CCM wash wash ya pesa ya umma. He is not a self made billionaire.
 
Angalau ujiliwaze roho itulie, mnaumwa sana.., relax there usitoke la sivyo utakufa kwa pressure, ukweli mchungu mrogi.., 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Muulize hapa panaitwaje au jina la hio hotel.. niiweke kwenye bucket list ya sehem za kutembelea
Panaitwa century city, huyu mwamba baada ya kunitajia jina nikaona niende ku google nijione how does the place looks like, and this is what I've seen πŸ‘‡hii sio level za AFRICA hii.. hii ndio world standard saaa.. Don YF.
 
Kilimani is a proper CBD wachana na zile ghorofa tano kando ya barabara hua tunaonyeshwa hapa eti ni CBD.

View attachment 2396725
Mtu anaokota clip with incomplete views za Kilimani then the idiot tries to argue with it, Kilimani is dope!..., Tanzanians wengi wako na wivu sana!.., inawauma sana Kilimani being mentioned as the coolest, na inaonekana wazi wazi.., πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’ͺπŸ’ͺ
 
Mo Dewji kuwa mtanzania mwenye asili ya uhindi na kuwa the only dollar billionaire in the whole EA is where you kunyans draw the line?
Huyo MO DEWJI NA BAKHRESA wakunya hawawatambuhi kama ni Watanzania, ila hao wengine asili yao ni Kenya. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
🀣🀣🀣🀣 Upanga west inapiga hii takataka hands down.. driving in Upanga west πŸ‘‡ .
 
Kilimani is a proper CBD wachana na zile ghorofa tano kando ya barabara hua tunaonyeshwa hapa eti ni CBD.

View attachment 2396725
Yaani it is the vibe in a nutshell ndio imetumika ku I rank as the coolest hood in Africa, idiots driven by jealousy hawatambui.., truth is painful for dimwits πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..,
 
No suburb in Dar is a slum can rival Kilimani, Kileleshwa, Riverside or Hurlingham. Apartments za Dar level zao ni kama za Pangani, Ngara, Eastleigh na South C.
 
Zero brain kabisaaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.., haujui unalo zungumzia wewe, umeng'ang'ania aesthetics(muonekano)sasa hiyo ndio definition ya"world class" yaani siku ile utabalehe Kisha upitie post zako, na kuelewa context ya topics utaona ulivyo kua boya, utajidharau sanaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚ am sure kwa hizi fikra zako utaona China kama ni first world kwa sababu ya their magnificent and ultra modern looking cities with bullet trains zenye Europe haina, uko down kilazaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Moaja kati ya mavitu ya hovyo Nyerere kayafanya ni huu upumbavu wa Liberation of Southern Africa. Tungesaidi kiaina tu na sio kujitoa mazima at the expenses of our economy and our wellbeing.

Tungekuwa na uchumi mkubwa sana leo kama sio ujinga ule wa Nyerere. Sad, tukiwa kwenye uhitaji kama wao, haito kaa itokee wafanye tuliowafanyia, NEVER.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…